Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Wengi humu ni wazito kuelewa. Hiyo ni moja ya strateji ya kutoipa uzito kimataifa habari hiyo na kuwatisha watalii. Kama angeenda rais kwa tukio kama lile,vyombo karibia vyote vya ndani na vya nje vinge cover habari hiyo na hii ingekua si nzuri kwa biashara ya utalii. Hata kule ZNZ alieenda kuwaona na kulisemea hili si Dk Shein bali waziri mmoja aliyekasimiwa mamlaka. That was strategicaly planned!. Think outside the box.

Inasaidia nini wakati amani inachafuliwa????!!!
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Kwani wasanii sio raia wa Tanzania hadi uone hakukuwa na umuhimu wa Mheshiwa Rais kushiriki tamasha hilo?
 
yaan wewe sijui hata nianzie wapi kukuelekeza na sio kukuelekeza tu pia uelewe,anyway nikupe kiduchu tu,rais huwa haendi sehemu hovyohovyo tu kama unavyo-wish wewe,Rais ana group la intelijinsia,na usimuone Dodoma ukajua swala ni huo uzinduzi tu,pia Rais ana wawakilishi sio kila sehemu lazima aende yeye,hata hivyo unahitaji elimu kidogo nitafute tuwekane sawa.

sawa Salva wa Lithuli
 
Yeye ni mkuu wa nchi, alipaswa kuwatoa hofu wananchi kwa kutoa kauli na kuwatembelea wahanga kwa kuwa yupo nchini.
Kwa uzito wa tukio lenyewe, likiwa na mwelekeo wa kigaidi, na kwamba ni mwendelezo wa matukio ya namna hii, hakupaswa Rais kushindwa kutoa kauli na kwenda kuwaona majeruhi na badala yake akaenda kwenye tamasha la muziki.
Ova
 
Mkuu umewasilisha mawazo yangu na pengine ya maelfu kwa mamilioni ya Watanzania wapenda amani wenye kiu ya maendeleo lakini wanakata tamaa kutokana na OMBWE la Uongozi lililoko kuanzia chini hadi Juu kabisa! Hivi Ikulu kama Taasis hawa kuliona hili? Rais wetu anashauriwa vema? kwanini mambo mazito ya kitaifa hayapewi vipaumbele? Walizoea kuwaita eti Watanzania Waislam ni MAGAIDI, wauaji. Grrrrr How come hao magaidi wawaue magaidi wenzao? Motives? Nchi yetu si salama tena, tunachonganishwa via watu wetu wenyewe na vyombo vya usalama viko honey moon! KWanini Rais asiitishe uchunguzi kwa kutumia Satellite? Ujinga huu ufike mwisho sasa kwani tumechoka maisha magumu bado na Ugaidi wa kufitinishwa wenyewe kwa wenyewe tunashindwa kuzuia?... I wonder kama pale Ikulu kuna best brains za kumshauri Mkuu anymore...

guyz...
mambo msiyoyajua ni heri kukaa kimya.AITISHE UCHUNGUZI KWA SATELIT?????????? Nyambaffffffffffff......
afterall, kuna connection zote zinazolihusisha shambulizi hili na uamsho(CUF),ambao ni washirika wa chadema katika kuunda UKAWA.
 
Nasikitika hata nikitoa ya moyoni hakuna atakayeshtuka. Ila kimsingi nilisikitika sana!
 
Wengi humu ni wazito kuelewa. Hiyo ni moja ya strateji ya kutoipa uzito kimataifa habari hiyo na kuwatisha watalii. Kama angeenda rais kwa tukio kama lile,vyombo karibia vyote vya ndani na vya nje vinge cover habari hiyo na hii ingekua si nzuri kwa biashara ya utalii. Hata kule ZNZ alieenda kuwaona na kulisemea hili si Dk Shein bali waziri mmoja aliyekasimiwa mamlaka. That was strategicaly planned!. Think outside the box.

Unafikiria kwa kutumia nini wewe?
Ova
 
Yeye ni mkuu wa nchi, alipaswa kuwatoa hofu wananchi kwa kutoa kauli na kuwatembelea wahanga kwa kuwa yupo nchini.
Kwa uzito wa tukio lenyewe, likiwa na mwelekeo wa kigaidi, na kwamba ni mwendelezo wa matukio ya namna hii, hakupaswa Rais kushindwa kutoa kauli na kwenda kuwaona majeruhi na badala yake akaenda kwenye tamasha la muziki.
Ova
kama Rais atakuwa anatoa tamko kwa kila jambo hakika nitamdharau sana
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Kwani Zanzibar si kuna rais? by the way lilipolipuka Arusha nako alikwenda?
 
guyz...
mambo msiyoyajua ni heri kukaa kimya.AITISHE UCHUNGUZI KWA SATELIT?????????? Nyambaffffffffffff......
afterall, kuna connection zote zinazolihusisha shambulizi hili na uamsho(CUF),ambao ni washirika wa chadema katika kuunda UKAWA.
Nakubaliana na wewe Mkuu. UAMSHO ni Washirika wa CUF. CUF imefunga ndoa ya mkeka na CHADEMA ambayo inaitwa UKAWA. UKAWA wanapinga muungano wa Tanzania. Rais alienda kwenye tamasha la kuhamasisha watanzania kuipenda nchi yao ambayo UKAWA hawaitaki. Bila shaka bomu hili limetekelezwa kwa matakwa ya kisiasa
 
tuna rais wa ajabu sna,ye daily yuko busy na issue za kisanii,mambo ya msingi na nyeti wala hajali,akili yake iko kwenye vigodoro,baikoko tu!

Kuongoza nchi co swala rahisi kma unavofikiria...
 
What an excuses ! Mbona tunashuhudia marais wa wenzetu wakiahirisha vikao na ratiba pindi majanga ama mambo mazito yanapotokea kwenye nchi zao? So kiuno cha SHILOLE kilikuwa na Umuhimu kuliko kuwaondolea HOFU wananchi wake?

Kuongoza nnchi co swala jepec kma unavofikiria ....ww mwenyewe familia yako inakushinda
 
Warioba alipendekeza UTU uwe msingi wa kikatiba, washikaji wengi wafanya photosynthesis WAKAGOMA. Huu ndo mfano
 
Muache aendelee kulalamika mabomu muyarushe wenyewe then raisi wetu kipenzi ahangaike yeye. Hvi haoni raisi wetu anavyochapa kazi? Haoni alivyogeuka kua promota wa wasanii baada ya kuona majukumu ya ikulu yamemshinda? Jana katuahidi kumleta mwanamuziki mkubwa toka marekani Usher Raymond na hyo ni moja ya mafanikio ya ziara zake za huko marekan. Rais wetu tunakupenda sana we endelea kutuletea wasanii kwa kodi zetu.

Nipe mkono
 
Back
Top Bottom