Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Ewe punguani, unafikiri huyo ni Rais wa tabaka fulani tu la wananchi?

Umesahau maneno ya Mkapa?

Hapa panaongelewa Rais kwenda Unguja kwa ajili ya bomu lililorushwa.

Rais hakurupuki tu kwenda bila mpangilio maalum.

Kualika wasanii ni moja katika njia za kuitangaza nchi na kuvutia utalii. Nawashangaa sana kuona hilo ni jambo la ajabu.

Ikiwa nyinyi mmekosa ubunifu, kaeni mtazame wabunifu wanachokifanya.

KULIKUWA NA HAJA YA KUTUMIA NENO "PUNGUANI"???
Je usingelitumia hoja yako isingesomeka?
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014, mjini Unguja.

‘Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote wapenda amani Bara na Visiwani, ni kitendo cha woga na kisicho na ustaarabu na wala hakikubaliki katika dunia ya sasa’ Rais amesema na kuongeza kuwa; ‘Hiki ni kitendo kilichofanywa na watu waoga, wasio na ustaarabu wa aina yeyote ile’.

Rais amekemea na kuwataka watu kuwa wastaarabu, wavumilivu na kuheshimu imani na mitizamo ya watu wengine hata kama hawakubaliani nao.

Rais amesema amesikitishwa zaidi na watu hao wasio na ustaarabu ambao wamefanya kitendo hicho cha kihalifu kwenye shughuli ya kidini ambapo ndipo mahali panapostahili Amani, Uvumilivu na Unyenyekevu zaidi kwa kuwa ni wakati ambapo binadamu anapofanya mawasiliano na muumba wake.

Rais Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki wale wote waliohusika katika tukio hilo lisilo la kistaarabu.

Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu-Dodoma
15 Juni, 2014
 
Mna Rais wenu,Bendera yenu,Katiba yenu,Bunge lenu na hivi sasa Rais wenu anapigiwa mizinga kama amiri jeshi mkuu bado mnataka JK ahusike na bomu lenu la utata.

Au hujui huko ni nchi jirani, JK anakuja kama mgeni.?

Urais wa JK unaishia Chumbe. Darajani sio kwake. Labda kama Maalim Seif hakuja ndo wangelalamika maana hata Shein ni rais aliyeteuliwa Dodoma. Hatambuliki Zanzibar
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Matukio yote ya mabomu hajawahi kwenda kuwapa pole wahanga kwa kuwa dhamira inamsuta kwani inawezekana kabisa wahusika wapo ndani ya mfumo ambao unafahamika na ndio maana hadi sasa hatujashuhudia ufuatiliaji makini juu ya matukio haya zaidi ya viini macho tu. mfano bomu la soweto na olasiti yote inasemekana ni mabomu yaliyotengenezwa kiwandani tena China lakini imeshindikana kukamata wahusika halisi. misiba anayopenda kuhudhuria mkuu wetu wa nchi ni misiba ya wasanii na wanajeshi tu ambao ndio yupo karibu nao.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014, mjini Unguja.

'Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote wapenda amani Bara na Visiwani, ni kitendo cha woga na kisicho na ustaarabu na wala hakikubaliki katika dunia ya sasa' Rais amesema na kuongeza kuwa; ‘Hiki ni kitendo kilichofanywa na watu waoga, wasio na ustaarabu wa aina yeyote ile'.

Rais amekemea na kuwataka watu kuwa wastaarabu, wavumilivu na kuheshimu imani na mitizamo ya watu wengine hata kama hawakubaliani nao.

Rais amesema amesikitishwa zaidi na watu hao wasio na ustaarabu ambao wamefanya kitendo hicho cha kihalifu kwenye shughuli ya kidini ambapo ndipo mahali panapostahili Amani, Uvumilivu na Unyenyekevu zaidi kwa kuwa ni wakati ambapo binadamu anapofanya mawasiliano na muumba wake.

Rais Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki wale wote waliohusika katika tukio hilo lisilo la kistaarabu.

Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu-Dodoma
15 Juni, 2014

Una uhakika anayajua haya yaliyoandikwa? hapo nilipoweka Blue inajionyesha wazi ni mtu mmoja tu hapo Ikulu kaamua kuandika pasipomshirikisha muhusika.
 
yaan wewe sijui hata nianzie wapi kukuelekeza na sio kukuelekeza tu pia uelewe,anyway nikupe kiduchu tu,rais huwa haendi sehemu hovyohovyo tu kama unavyo-wish wewe,Rais ana group la intelijinsia,na usimuone Dodoma ukajua swala ni huo uzinduzi tu,pia Rais ana wawakilishi sio kila sehemu lazima aende yeye,hata hivyo unahitaji elimu kidogo nitafute tuwekane sawa.
Nakubaliana na wewe Mkuu kuwa nahitaji elimu zaidi kuhusiana na eneo hili! nijuavyo mimi wenzetu wana security code or levels! Nakumbuka Code AMBER, RED and BLACK ni high levels ambazo zinahitaji intervention za Rais!!! Issues za mabomu ya Arusha, Zanzibar na hata kifo cha Mwangosi sikuwahi kusikia ikulu ikitoa pole na tamko la kulaani na kukemea mauaji yale zaidi ya kuwaachia akina Chagonja na kova kutuelezea mambo yao ya inteligensia !!! Kama haita contravenes ethics za kazi yako tafadhali nifafanulie mambo yafuatayo; TOR za TISS ni zipi? Zina kidhi mazingira ya sasa tuliyo nayo? Abilities and Capabilities ya Vyombo vyetu vya usalama vinaweza kupambana na maadui wenye technologies, skills na fedha za kutosha? Why we are so vulnerable kiasi cha kuwashindwa hata wauza sembe? TISS iko vipande vipande?...nitakutafuta Mkuu...
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014, mjini Unguja.

'Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote wapenda amani Bara na Visiwani, ni kitendo cha woga na kisicho na ustaarabu na wala hakikubaliki katika dunia ya sasa' Rais amesema na kuongeza kuwa; ‘Hiki ni kitendo kilichofanywa na watu waoga, wasio na ustaarabu wa aina yeyote ile'.

Rais amekemea na kuwataka watu kuwa wastaarabu, wavumilivu na kuheshimu imani na mitizamo ya watu wengine hata kama hawakubaliani nao.

Rais amesema amesikitishwa zaidi na watu hao wasio na ustaarabu ambao wamefanya kitendo hicho cha kihalifu kwenye shughuli ya kidini ambapo ndipo mahali panapostahili Amani, Uvumilivu na Unyenyekevu zaidi kwa kuwa ni wakati ambapo binadamu anapofanya mawasiliano na muumba wake.

Rais Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki wale wote waliohusika katika tukio hilo lisilo la kistaarabu.

Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu-Dodoma
15 Juni, 2014

Kwanini wamechukua muda mrefu sana?...
 
tuna rais wa ajabu sna,ye daily yuko busy na issue za kisanii,mambo ya msingi na nyeti wala hajali,akili yake iko kwenye vigodoro,baikoko tu!

raisi kikwete kalogwa na aliyemloga naye alishalogwa akafariki
 
Mkuu TAWA

Yaani Bomu lilipuke Burundi Rais wa Tanganyika linamhusu nini sasa?
 
Last edited by a moderator:
What an excuses ! Mbona tunashuhudia marais wa wenzetu wakiahirisha vikao na ratiba pindi majanga ama mambo mazito yanapotokea kwenye nchi zao? So kiuno cha SHILOLE kilikuwa na Umuhimu kuliko kuwaondolea HOFU wananchi wake?

Mkuu Kiuono cha Shilole Mantashau kabisa aiser
 
sikushangai maboso kwetu maana yake ni mayai yaliyooza.

Sasa kama kwenu ina maana hiyo mie nifanyaje? Kwani nimekuuliza hapa maana ya maboso? Usiwe mpuuzi wa kujadili majina ya watu. Jifunze kujadili hoja.
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Ingelikufa padri mara 1 tungeona uchunguzi hadi wa marekani wangewasili kuja kwa tukio hilo
 
Soma taarifa hii ya IKULU ya Dar es salaam kuhusu Bomu la Zanzibar

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014, mjini Unguja.

‘Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote wapenda amani Bara na Visiwani, ni kitendo cha woga na kisicho na ustaarabu na wala hakikubaliki katika dunia ya sasa’ Rais amesema na kuongeza kuwa; ‘Hiki ni kitendo kilichofanywa na watu waoga, wasio na ustaarabu wa aina yeyote ile’.

Rais amekemea na kuwataka watu kuwa wastaarabu, wavumilivu na kuheshimu imani na mitizamo ya watu wengine hata kama hawakubaliani nao.

Rais amesema amesikitishwa zaidi na watu hao wasio na ustaarabu ambao wamefanya kitendo hicho cha kihalifu kwenye shughuli ya kidini ambapo ndipo mahali panapostahili Amani, Uvumilivu na Unyenyekevu zaidi kwa kuwa ni wakati ambapo binadamu anapofanya mawasiliano na muumba wake.

Rais Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki wale wote waliohusika katika tukio hilo lisilo la kistaarabu.

Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu-Dodoma
15 Juni, 2014
 
JK amebaki kuwa ceremonial leader,amiri jeshi ni Mwigulu Madelu
 
Mna Rais wenu,Bendera yenu,Katiba yenu,Bunge lenu na hivi sasa Rais wenu anapigiwa mizinga kama amiri jeshi mkuu bado mnataka JK ahusike na bomu lenu la utata.

Au hujui huko ni nchi jirani, JK anakuja kama mgeni.?

JK atatuma salam za rambi rambi na ataweza kwenda huko tu kama akialikwa au kuombwa msaada na rais na amiri jeshi mkuu wa jamhuri ya watu wa Zanzibar. Ukweli ni kuwa JK hana mamlaka na vikosi maalum vya serikali ya Zanzibar ambavyo ndio viko mstari wa mbele kuchunguza wimbi la mabomu huko.
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Na raisi wa Zanzibar anafanya nn? he is so polite to take any action,,,,,,we are heading to a dark tunnel ,bara nako hakuna kiongozi wa nchi
 
Back
Top Bottom