mwa 4
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,390
- 754
Mkulu ndiyo nani tena bavicha vichwa vyenu sijui vikoje.Kwa hiyo mkulu ndio hana watoto wa nje?
Mkulu ndiyo nani tena bavicha vichwa vyenu sijui vikoje.Kwa hiyo mkulu ndio hana watoto wa nje?
Read between the lines. Bomu la Arusha lilivyorushwa Rais alikuwa anazindua albam?Wewe nawe, mbona hata Arusha kulikuwa kuna Bomu lililorushwa Bar na hajafika.
Mkuu kwani ya kwako ulishaitoa?
Na wewe una hisa gani na mkulu mbona una mtetea sana?
Panuka akili kijana siyo kupanua vidole fikiri kwa kutumia kichwa usitumie viungo vya ajabu kufikri.Read between the lines. Bomu la Arusha lilivyorushwa Rais alikuwa anazindua albam?
Kweli mkuu bavicha wengi wanalipwa kutunga uongo na kuchafua watu sijajua wanafanya haya kwa manufaa ya nani.Mnajibishana na watu ambao wa na pay check zao makao makuu ya chama.
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.
Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili
Umesema vyema. Ile ni nchi, ina rais na geshi rao. Serikali mbili oyeeeeeeeAtakujaje kwa nchi nyingine yenye Rais wake?
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.
Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.
Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.
Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .
Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.
Naomba kuwasilisha.
Mkulu ndiyo nani tena bavicha vichwa vyenu sijui vikoje.
Mkuu Zanzibar ni nchi!!Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.
Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.
Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.
Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .
Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.
Naomba kuwasilisha.
Jk hakuwenda kutoa mkono wa pole kwa maelfu ya wafiwa wa waliozama na mv spice wala mv skarget itakuwa hilo bomu lilouwa mtu 1 na watu wa4 kujeruhiwa? tena kwa Zanzibar?
Ingekuwa Diamond anaumwa au mama yake Diamond amekufa angekwenda kutoa ubani mil 15 hadi 50. Wazanzibar munalazimika sasa kuvunja muungano kwa nguvu zote hii ni ishara tosha Tanganyika wanaitaka Zanzibar ili kutengeneza milo yao 3 kwa siku tu.,
Mkuu mbona wewe naona kichefuchefu sana kulikoni au tukupe maembe mabichi na ndimu kwa wingi?hata mi nahis maana povu linamtoka
Hizi sifa alikuwa nazo bi mdogo wako kwani ameacha?Si yule bingwa wa kucheka cheka asiye jua kwanini nchi yake ni masikini.