Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

yaan wewe sijui hata nianzie wapi kukuelekeza na sio kukuelekeza tu pia uelewe,anyway nikupe kiduchu tu,rais huwa haendi sehemu hovyohovyo tu kama unavyo-wish wewe,Rais ana group la intelijinsia,na usimuone Dodoma ukajua swala ni huo uzinduzi tu,pia Rais ana wawakilishi sio kila sehemu lazima aende yeye,hata hivyo unahitaji elimu kidogo nitafute tuwekane sawa.

Nilisikia Mchambuzi anatangaza mwenye gari xxx na huu na zzz waondoe magari yao kwa kuwa yaliegeshwa njia ambayo Mr. Pres. Ataitumia, ndo inteligensia hiyo?
 
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.

Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili

Of course! Ratiba nzito ya kukutana na wasanii.. "Mikasi, mitungi, bangi na pamba, yeeeeah my nigger!"
Rais tunaye!
 
Mkuu umewasilisha mawazo yangu na pengine ya maelfu kwa mamilioni ya Watanzania wapenda amani wenye kiu ya maendeleo lakini wanakata tamaa kutokana na OMBWE la Uongozi lililoko kuanzia chini hadi Juu kabisa! Hivi Ikulu kama Taasis hawa kuliona hili? Rais wetu anashauriwa vema? kwanini mambo mazito ya kitaifa hayapewi vipaumbele? Walizoea kuwaita eti Watanzania Waislam ni MAGAIDI, wauaji. Grrrrr How come hao magaidi wawaue magaidi wenzao? Motives? Nchi yetu si salama tena, tunachonganishwa via watu wetu wenyewe na vyombo vya usalama viko honey moon! KWanini Rais asiitishe uchunguzi kwa kutumia Satellite? Ujinga huu ufike mwisho sasa kwani tumechoka maisha magumu bado na Ugaidi wa kufitinishwa wenyewe kwa wenyewe tunashindwa kuzuia?... I wonder kama pale Ikulu kuna best brains za kumshauri Mkuu anymore...

kutambua best brain si lazima na mhusika awe best brain? Ujuwe nazi huwezi kuzichanganya na magimbi, hivyo nazi zitakaa na nazi nyingine na si vinginevyo.. nadhani umenisoma
 
----- ni chombo cha propaganda. hakina dira, uelekeo, ujuzi, nia,uwezo na mbinu za kulinda taifa, bali kulinda ccm dhidi ya cdm. Chombo kazi yake ni. kuiba kura tu ili ccm ishinde. hili lazima mlijuwe.

Nakubaliana na wewe Mkuu kuwa nahitaji elimu zaidi kuhusiana na eneo hili! nijuavyo mimi wenzetu wana security code or levels! Nakumbuka Code AMBER, RED and BLACK ni high levels ambazo zinahitaji intervention za Rais!!! Issues za mabomu ya Arusha, Zanzibar na hata kifo cha Mwangosi sikuwahi kusikia ikulu ikitoa pole na tamko la kulaani na kukemea mauaji yale zaidi ya kuwaachia akina Chagonja na kova kutuelezea mambo yao ya inteligensia !!! Kama haita contravenes ethics za kazi yako tafadhali nifafanulie mambo yafuatayo; TOR za TISS ni zipi? Zina kidhi mazingira ya sasa tuliyo nayo? Abilities and Capabilities ya Vyombo vyetu vya usalama vinaweza kupambana na maadui wenye technologies, skills na fedha za kutosha? Why we are so vulnerable kiasi cha kuwashindwa hata wauza sembe? TISS iko vipande vipande?...nitakutafuta Mkuu...
 
Ewe punguani, unafikiri huyo ni Rais wa tabaka fulani tu la wananchi?

Umesahau maneno ya Mkapa?

Hapa panaongelewa Rais kwenda Unguja kwa ajili ya bomu lililorushwa.

Rais hakurupuki tu kwenda bila mpangilio maalum.

Kualika wasanii ni moja katika njia za kuitangaza nchi na kuvutia utalii. Nawashangaa sana kuona hilo ni jambo la ajabu.

Ikiwa nyinyi mmekosa ubunifu, kaeni mtazame wabunifu wanachokifanya.
We una wehu wewe si bure ukapimwe akili.
 
Bomu imelipuka imelipuka mkulu angefanyanini wkti kule rais wao yupo
 
What an excuses ! Mbona tunashuhudia marais wa wenzetu wakiahirisha vikao na ratiba pindi majanga ama mambo mazito yanapotokea kwenye nchi zao? So kiuno cha SHILOLE kilikuwa na Umuhimu kuliko kuwaondolea HOFU wananchi wake?

Yani munaleta ugaidi kisha munalaumu mulitaka Rais afanyenn endeleni na upuuzi wenu au baruti zimewaishia matokeo ya hayo tutayaona muda simlefu
 
Tofauti kati ya kazi anazofanya na alizokusudiwa kama MKUU ni kama USIKU na MCHANA.Natamani asubuhi ya leo ingekuwa DESEMBA 2015!MLIOMPA KURA POLENI ZENU!
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.


Lakini Rais wa ZANZIBAR yuko Safarini UINGEREZA... na ndio pekee mwenye Uwezo wa kutetemesha ASKARI na Mwingine ni Rais Kikwete....

Sioni kosa Mpaka hapo CCM watapo iachia ZANZIBAR iende kwa furaha zake...
 
kwa hiyo muafaka ni kwamba jk mambo ya Zanzibar hayamuhusu.
 
Muache aendelee kulalamika mabomu muyarushe wenyewe then raisi wetu kipenzi ahangaike yeye. Hvi haoni raisi wetu anavyochapa kazi? Haoni alivyogeuka kua promota wa wasanii baada ya kuona majukumu ya ikulu yamemshinda? Jana katuahidi kumleta mwanamuziki mkubwa toka marekani Usher Raymond na hyo ni moja ya mafanikio ya ziara zake za huko marekan. Rais wetu tunakupenda sana we endelea kutuletea wasanii kwa kodi zetu.

Safi mkuu kwa kutambua majukumu mazito yanayomkabili promota wetu kwa sasa na yuko busy kuandaa JK star search ili kuhakikisha sanaa inasonga mbele
 
Back
Top Bottom