Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Wale waliolipua kanisa arusha walikuwa waislamu?
Waluolipua bar arusha walikuwa waislamu?
Kule norway yule aliyepiga risasi watoto kwenye camp na kuua alikuwa muiskam?

Usipende kuchochea mambo ya kidini huo ni upuuzi use ur big head to think rather than ur big ass

good mwambie huyo
 
Tunamzungumzia kitaifa JK hivi sasa ni Rais wa JMT, yeye ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania, Tanzania ni pamoja na Zanzibar. Dr slaa na Mbowe kwa sasa hawana wadhifa wowote kwenye serikali iliyo madarakani.

kwahiyo kama hawana wadhifa serikalini ndiyo wasiende kwenye mazishi ya mamayake zitto ambaye alikuwa ni mjumbe wa baraza kuu la chadema? unaongozwa na akili gani mkuu.
 
kwahiyo kama hawana wadhifa serikalini ndiyo wasiende kwenye mazishi ya mamayake zitto ambaye alikuwa ni mjumbe wa baraza kuu la chadema? unaongozwa na akili gani mkuu.

mama yake zito kajaje kwenye thread ya mabomu Zanzibar na upuuzi Wa kikwete.?
 
mburula utaelewa vipi wakati upeo tatizo kwako.

sawa Mimi upeo wangu mdogo. lakini umeniuliza, "si unajua?" je nijibu ndiyo najua wakati sijui. sasa neleweshe wewe mwenye upeo mkubwa.
 
mbona huwa anatoa matamko kwa wauza unga,wabwia unga,wapokea rushwa,why not kwa wahanga wa mabom,mpaka kwa hao wasanii wanaoshukiwa kuwa ni 'PUNDA'.

Tatizo lako wewe unadhani akili yake mbovu kama viongozi wa ukawa ambao kutwa wanazunguka hata hawajui wanadai nini.
 
Tatizo lako wewe unadhani akili yake mbovu kama viongozi wa ukawa ambao kutwa wanazunguka hata hawajui wanadai nini.

hivi nkumbushe nape na kinana wanadai nini vile?
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Umekosea sana. Eneo la tukio ulilotaka wewe Mh Rais akimbilie ni kule kwenye bomu sio? Unajua walipuaji mahiri huwa wana aina mbili za ulipuaji.
1.Primary explossion.
2, Secondary explossion.
Mara nyingi mlipuko wa kwanza ni kuwapoteza watu wa usalama na wa pili ndio huwa mkubwa na unaweza kutokea palepale kwenye tukio la kwanza. So ulitaka Mh Rais akurupukie eneo la bomu kabla wanausalama hawajajiridhisha kama ni salama sio? Acha kuwaza ki UKAWA UPAWA wewe!
 
kwahiyo kama hawana wadhifa serikalini ndiyo wasiende kwenye mazishi ya mamayake zitto ambaye alikuwa ni mjumbe wa baraza kuu la chadema? unaongozwa na akili gani mkuu.

kwa nini una kichwa kigumu? mbowe na wenzake walitoa pole msiba wa mama yk zitto ndani ya Bunge la bajeti na baadhi yao walihudhuria kwenye mazishi, jk Rais wa JMT alitoa wapi hata pole ya milipuko ya mabomu kule Zanzibar na yeye ndio mkuu wa majeshi Tz?
 
Mimi napenda kumtetea JK kama ifuatavyo. Kabla ya kumlaumu Kikwete, kwanza walaumuni Mashekhe uchwara wanaohubiri chuki, wanaofundisha Jihadi na Imani kali. Misikitini mnauziana CD za Jihadi, mnahamasishana, sasa mnataka mkiuana Rais atumie kodi yetu kwenda kutoa upole kwa upuuzi?. Acha wafu wazike wafu wao
 
Jihadi wafundishane wao, kuuana wauane wao, pole nikatoe mimiiiii, majangaaa, mbona majangaaa
Majangaa, mbona majangaaa
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Kwani zanzibar si ni nchi nyingine na wana rsis wao? sssa ulitaka jk aingilie mambo ya nchi jirani wakati haya muhusu.
 
Angekufa padre angesema chochote, anadharau sana huyu mtu, unaenda kuzindua video kwa garama ya zaid ya m300?
 
Back
Top Bottom