Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

kwani unajua alikuwa wapi siku hiyo unataka ajigawe mara ngapi shangaa ya mbowe na slaa kushindwa kwenda kwenye mazishi ya mama ake zito badala yake wakaenda kwenye mikutano ya siasa.

Tunamzungumzia kitaifa JK hivi sasa ni Rais wa JMT, yeye ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania, Tanzania ni pamoja na Zanzibar. Dr slaa na Mbowe kwa sasa hawana wadhifa wowote kwenye serikali iliyo madarakani.
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

Hapo 'braza' ungetaka watu wachangie in ur favor ungeweka mifano ya huko arusha na kwengineko...ila hio znz baba ndo umeharibu....si unajua!!..
 
Mna Rais wenu,Bendera yenu,Katiba yenu,Bunge lenu na hivi sasa Rais wenu anapigiwa mizinga kama amiri jeshi mkuu bado mnataka JK ahusike na bomu lenu la utata.

Au hujui huko ni nchi jirani, JK anakuja kama mgeni.?

Critical thinkers hav best reply like this of you Idawa, I liked it!
 
sipati picha hili bomi lingetupwa karibu na kanisa ama mkristo ndo angeuwawa na wengine kujeruhiwa,vyombo vya habari vyote vingelalama,maaskofu na wachungaji wangetoa matamko,serikali ingekuwa busy kuanzia raisi mpaka mkuu wa polisi mapaka FBI,tuache unafiki tuwahudumie raia wote kwa mizani sawa
 
Mkuu acha ujinga wa kutuletea udini humu.
 
sipati picha hili bomi lingetupwa karibu na kanisa ama mkristo ndo angeuwawa na wengine kujeruhiwa,vyombo vya habari vyote vingelalama,maaskofu na wachungaji wangetoa matamko,serikali ingekuwa busy kuanzia raisi mpaka mkuu wa polisi mapaka FBI,tuache unafiki tuwahudumie raia wote kwa mizani sawa

Umenena. ..ingekua fitna kubwa mjini huko..mapolisi wangesimamishwa kulinda makanisa...ila hapo sehemu ya tukio hata kofia ya polisi haipo sikwambii polisi mwenyewe!
 
Lakini kwani huyo Rais mmoja Shein hawatoshi tu hadi tuwaongezee na JK? Mabomu si huwa mnajitoa muhanga wenyewe sasa mnataka nani aje tena?
 
Wewe una ujinga ulio pitiliza.
 
sipati picha hili bomi lingetupwa karibu na kanisa ama mkristo ndo angeuwawa na wengine kujeruhiwa,vyombo vya habari vyote vingelalama,maaskofu na wachungaji wangetoa matamko,serikali ingekuwa busy kuanzia raisi mpaka mkuu wa polisi mapaka FBI,tuache unafiki tuwahudumie raia wote kwa mizani sawa

Labda Wakristo hawajazoea kulipuana mabomu ktk nyumba za ibada….Sijawahi kusikia mkristo gaidi kalipua au kajitoa mhanga ktk nyumba ya ibada…
 
Wale waliolipua kanisa arusha walikuwa waislamu?
Waluolipua bar arusha walikuwa waislamu?
Kule norway yule aliyepiga risasi watoto kwenye camp na kuua alikuwa muiskam?

Usipende kuchochea mambo ya kidini huo ni upuuzi use ur big head to think rather than ur big ass
 
Hapo 'braza' ungetaka watu wachangie in ur favor ungeweka mifano ya huko arusha na kwengineko...ila hio znz baba ndo umeharibu....si unajua!!..

Sijui. nieleweshe
 
Back
Top Bottom