Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

What an excuses ! Mbona tunashuhudia marais wa wenzetu wakiahirisha vikao na ratiba pindi majanga ama mambo mazito yanapotokea kwenye nchi zao? So kiuno cha SHILOLE kilikuwa na Umuhimu kuliko kuwaondolea HOFU wananchi wake?

We RockSpider kwanini hutaki kuthamin kazi anazofanya Jk raisi wetu? Huoni alichokua anakifanya jana ni moja ya vipaumbele vya taifa na ilani ya ccm chama chetu sikivu. We endelea kulia lkn ujue rais wetu yuko bize sana na upromota na kaahidi kutuletea wanamuziki na waigizaji wakubwa toka marekani.
 
Muache aendelee kulalamika mabomu muyarushe wenyewe then raisi wetu kipenzi ahangaike yeye. Hvi haoni raisi wetu anavyochapa kazi? Haoni alivyogeuka kua promota wa wasanii baada ya kuona majukumu ya ikulu yamemshinda? Jana katuahidi kumleta mwanamuziki mkubwa toka marekani Usher Raymond na hyo ni moja ya mafanikio ya ziara zake za huko marekan. Rais wetu tunakupenda sana we endelea kutuletea wasanii kwa kodi zetu.

Ewe punguani, unafikiri huyo ni Rais wa tabaka fulani tu la wananchi?

Umesahau maneno ya Mkapa?

Hapa panaongelewa Rais kwenda Unguja kwa ajili ya bomu lililorushwa.

Rais hakurupuki tu kwenda bila mpangilio maalum.

Kualika wasanii ni moja katika njia za kuitangaza nchi na kuvutia utalii. Nawashangaa sana kuona hilo ni jambo la ajabu.

Ikiwa nyinyi mmekosa ubunifu, kaeni mtazame wabunifu wanachokifanya.
 
Usishangae kikwete. ... shangaa ZBC shirika la utangazaji la Zanzibar limekaa kimyaaa... halijasema chochote kuhusiana na kadhia hio!
 
Waseme nini wakati kuna watu wanalipwa sababu ya usalama wa raia na mambo yao????!!
Na kuna wasemaji katika wizara hizo???!!!

Wajibisheni wanaohusika huu mchezo wa kulaumu tu hauna tija!!!!
 
Ewe punguani, unafikiri huyo ni Rais wa tabaka fulani tu la wananchi?

Umesahau maneno ya Mkapa?

Hpa panaongelewa Rais kwenda Unguja kwa ajili ya bomu lililorushwa.

Rais hakurupuki tu kwenda bila mpangilio maalum.

Kualika wasanii ni moja katika njia za kuitangaza nchi na kuvutia utalii. Nawashangaa sana kuona hilo ni jambo la ajabu.

Ikiwa nyinyi mmekosa ubunifu, kaeni mtazame wabunifu wanachokifanya.

Dada yangu Faizafoxxy mbona hvyo tena waniita punguani wakati hata mimi nimemshangaa mleta mada mabomu wajirushie wenyewe halafu watake kumchosha Jk wetu. Mbona hata mimi nimeisifu na kuipenda kazi mpya ya Jk ya upromota wa wasanii na kuahidi kutuletea wasanii wakubwa toka marekani kama njia moja wapo yakuvutia watalii nchini mwetu. Nampongeza sana raisi wetu kwa kua mbunifu wakutumia kodi za wananchi wake vizuri kwenda dodoma kuangalia viuno na milegezo ya vijana wake.
 
Muache aendelee kulalamika mabomu muyarushe wenyewe then raisi wetu kipenzi ahangaike yeye. Hvi haoni raisi wetu anavyochapa kazi? Haoni alivyogeuka kua promota wa wasanii baada ya kuona majukumu ya ikulu yamemshinda? Jana katuahidi kumleta mwanamuziki mkubwa toka marekani Usher Raymond na hyo ni moja ya mafanikio ya ziara zake za huko marekan. Rais wetu tunakupenda sana we endelea kutuletea wasanii kwa kodi zetu.

...Sipendi kucheka hususan kwenye mambo ya usalama wa nchi... ila nimejikuta na smile bila kupenda! Sasa huyo mvaa herein masikioni atatuondolea vipi rushwa iliyokithiri? atabadilisha vipi mikataba feki? au ndo katika muendelezo wa kukubaliana na USHOGA?...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ewe punguani, unafikiri huyo ni Rais wa tabaka fulani tu la wananchi?

Umesahau maneno ya Mkapa?

Hpa panaongelewa Rais kwenda Unguja kwa ajili ya bomu lililorushwa.

Rais hakurupuki tu kwenda bila mpangilio maalum.

Kualika wasanii ni moja katika njia za kuitangaza nchi na kuvutia utalii. Nawashangaa sana kuona hilo ni jambo la ajabu.

Ikiwa nyinyi mmekosa ubunifu, kaeni mtazame wabunifu wanachokifanya.

Faiza, unatete, unakanusha,au unatoa ILIM?
 
We RockSpider kwanini hutaki kuthamin kazi anazofanya Jk raisi wetu? Huoni alichokua anakifanya jana ni moja ya vipaumbele vya taifa na ilani ya ccm chama chetu sikivu. We endelea kulia lkn ujue rais wetu yuko bize sana na upromota na kaahidi kutuletea wanamuziki na waigizaji wakubwa toka marekani.

Mimi sikatai Rais kufanyakazi za UKUWADI mkuu! Ila naamini kwa nafasi yake kama Amiri Jeshi Mkuu/ Mwenyekiti wa mambo ya Ulinzi na Usalama anaingia moja kwa moja kama part n parcel ya Emergency Response Force! Liwalo na liwe alitakiwa aongoze ERT na atoe speech ya kutuliza hali ama kuelezea magnitude ya tukio! Kumbuka huu ni wakati wa World Cup, mikusanyiko ni mingi sana, hotels na sehemu za starehe wanafanyabiashara hadi usiku mkubwa! Hawapaswi kuwa na hofu ya usalama wao! Itoshe kusema kuwa Rais anaumwezo wa kutoa maamuzi hata ya kutumia Satellite kunasa matukio ndani ya 48 hrs! Unless otherwise wahusika walitekeleza hilo tukio kwaniaba ya dola yenyewe!!!
 
Muache aendelee kulalamika mabomu muyarushe wenyewe then raisi wetu kipenzi ahangaike yeye. Hvi haoni raisi wetu anavyochapa kazi? Haoni alivyogeuka kua promota wa wasanii baada ya kuona majukumu ya ikulu yamemshinda? Jana katuahidi kumleta mwanamuziki mkubwa toka marekani Usher Raymond na hyo ni moja ya mafanikio ya ziara zake za huko marekan. Rais wetu tunakupenda sana we endelea kutuletea wasanii kwa kodi zetu.

teh teh teh
 
Attachments

  • IMG_20140615_095432.JPG
    IMG_20140615_095432.JPG
    24 KB · Views: 313
Kwa miaka 9 sasa Tanzania inakwenda bila rais

Conclusion yako siiamini mkuu.. Mkapa alikuwa Rais wa Watanzania ama alikuwa KUWADI wa kuuza rasilimali zetu kwa mataifa ya Magharibi?... OMBWE la uongozi ulianza AWAMU ya kwanza ya JKN... Misingi legelege huzaa kuta legelege, paa legelege milango na madirisha legelege ndiyo maana nchi imegeuka kituo cha kusafirishia Sembe na kupiga deal za kuangamiza rasilimali zetu ... Lawama hizi ni mtambuka zinawagusa CCM wote na viongozi wao kwa upande mmoja na wananchi kwa upande mwingine! Plus viongozi wa dini wenye kutekeleza TOR za mataifa ya magharibi ...
 
TAWA nadhani sasa ilipofikia tuwe wakweli tu!!!

ni kwel bro. jambo la ajabu siku hizi mabomu kwetu ni jambo la kawaida huku tukishuhudia hakuna jambo lolote linalofanyika. mtu kama faiza foxy anatetea
 
Last edited by a moderator:
ni kwel bro. jambo la ajabu siku hizi mabomu kwetu ni jambo la kawaida huku tukishuhudia hakuna jambo lolote linalofanyika. mtu kama faiza foxy anatetea

Na yakizoeleka tutalia zaid ya hapa!!!!!!
Imagine hata wabunge kwa umoja wao sijawasikia, au mi nimepitwa????!!!!
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

zanzibar ni nchi,kwan rais wao hayupo?
 
Na yakizoeleka tutalia zaid ya hapa!!!!!!
Imagine hata wabunge kwa umoja wao sijawasikia, au mi nimepitwa????!!!!

Yani hao wsbunge wabunge Ndo kichefuchefu limeungua soko la ilala nlitegemea mtu kama Mh. Zungu kwenda eneo la tukio siyo tu kuzungumzia. labda sikufuatilia
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.

uko sawa kbs mkuu!ichi hii imekuwa kama haina kiongozi wa juu,kila mtu anajifanyia yake ,yaani tukio likitokea mpaka lipate promo ya media then ndo utaona wanaajifanya eti wanachunguza,angalia yule afande anayependa kuonekana kwenye media kila siku yeye anakamata bastola,SMG na mabomu ya kurusha na kuutangazia umma kwamba jeshi liko macho lakini ni bure kbs,angalia kwa sasa hali ni ngumu sana kimaisha watumishi wa serekali ndo usiombe kwa kipindi hichi cha karibuni maisha yamekuwa magumu sana,angalia walivyokuwa wanapiga promo eti maisha ya wafanyakazi yataborehwa...kwa shauku watu walisubiri kwa bashasha mara hee tozo ya kodi imepungua 1% ambayo ni sawa na hakuna,serekali haina vyanzo vingine vya mapato wafanyakazi maskini ndo wanaendesha nchi hii matajiri wanapeta ta misamaha ya kodi bwelele...nilitegemea kiongozi angeelekeza nguvu kwenye crucial issues kama hizi lakini loooh!!na mwenzie naye eti alikuwepo pale anachekelea,me nilivyo ona wanaanza kuonyesha nikazima tv na mainswitch nikazima kbs.Chadema wakiwa serious wanauwezo wa kuchukua hii nchi.
 
Back
Top Bottom