Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

sikushangai maboso kwetu maana yake ni mayai yaliyooza.
Tukitafsiri majina kwa kulinganisha na lugha za makabila yetu tutakosema sana. Kwetu TAWA ni kinyesi kinachonuka sana tena cha uharo
 
kwenye kumbukumbu za bunge yapo wazi na bayana kabisa nenda kafukue utayaona ya maajabu ya musa.

Acha story za gahawa wewe pimbi!nime kuambia mwaga evidence hapa!
 
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.

Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili

Huwa anakuja kuzika, mchizi ana jini maiti.
 
Muungano kiini macho huo, JK hata Arusha kwake ni nchi jirani ingekuwa chalinze hata kungekuwa na ajali ya bodaboda angeenda

Wewe sasa umefika mbali zaidi... Think twice
 
Back
Top Bottom