Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

Magufuli Daima alituonesha njia sahihi Watanzania tunapaswa kupita.

Tulikua tunaona Tanzania inapiga hatu kubwa ya kiuchumi na kujenga uchumi sawa kwa raia wake.
Pumzika kwa Amani JIWE la Afrika
Tofauti ya Magufuli na Walamba asali yeye ni kuwa alikuwa anafanya vitendo zaidi na uchumi ulikuwa uko na active motion. Ila hawa walamba asali wao wame capitalize kwenye propoganda tu.
 
Mtaongea kila jambo kujifariji Kwa maumivu,uchungu na hasira ila ukweli unabikia kwamba Samia amemfunika vibaya sana legacy..

Nakupa mfano mdogo wakati Mwendazake akijivunia Magomeni Kota ambayo nayo Samia kaikamilisha ,pembeni yake Kuna Magomeni Kota awamu ya 2 inaendelea blocks 5.

Kuna Temeke Kota inaendelea blocks 7 za gorofa 9 Kila Moja.

Sasa hivyo ni Cha mtoto,kubwa lao ni Samia Housing Scheme,ikumbukwe Mwendazake aliua kabisa sekta ya Real estate Samia kafufua kama ifuatavyo
View attachment 2561770View attachment 2561771View attachment 2561772
We Nepi Nnauye acha kubwata hovyo na matakwimu ya kubumba.
 
Swala la bureau-de-changes, msingi wa Magufuli kuingilia ilikuwa high demand ya dollar kutoka bank kuu.

High demand ya dollar inasababisha kupanda thamani yake. Kuna madhara ya kiuchumi kwenye importation inayosababisha miradi ya serikali kuwa juu kwa bidhaa zinazoagizwa. Kuna madhara kwenye kuhudumia deni la taifa kwa sababu ya high exchange rate.

Iwapo sababu zenyewe za kupanda kwa dollar ni uchumi wa ndani na wanunuzi wakubwa walikuwa bureau de change ndipo Magufuli alipoingilia kuzuia huu mchezo. Kuna watu walikuwa wakitumia hizi bureau de change kutakatisha hela.

Mtu kauza uchafu wake mtaani anaenda bureau de change ana nunua dollars na kuziacha kama mtaji huko. Au wengine wanafungua bureau de changes zao kabisa kwa shughuli ya kutakatisha hela kwa sababu ya vigezo rahisi vya kufungua hiyo biashara.

Kwakuwa biashara zote zina vitabu na hela inaweza kuwa traced from banks. Ndio maana bureau de change nyingi zilichunguzwa. Zile ambazo zilikuwa hesabu zao zipo sawa ziliachwa; wale waliochukuliwa hela walikutwa na reserves ambazo hawawezi elezea hiyo capital imetokea wapi.

Walioshindwa kutoa maelezo ndio Magufuli alizichukua na hazikwenda hazina kama za serikali bali zilikamatwa tu ukiweza toa maelezo unarudishiwa, ambao awakutokea ni kwasababu zilikuwa hela za kutakatishwa na ndio walikuwa hawana majibu na walikuwa wakiharibu uchumi kwa kununua dollar bila ya mpango na kufanya ipande.

Ni hivi huyo mama uwezo wake tushaona, mengine kwenda mbele ni kujitakia kama tumekubali namna nchi anavyoingoza, basi watu wawe tayari na kuishi na consequences za uongozi wake. Including kusikiliza hadithi za mijitu ya ovyo ovyo kama Nape.
SAFI SANA. UMEELEZA KITAALAMU KABISA.

MAJIZI YAMESHIKA USUKANI, TUTARAJIE MAMBO YA AJABU ZAIDI.
 
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.

Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?

Dah hakika Magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.

Ungeona ile clip ya video Nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa Magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua JPM kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa Mererani ili watu wao wezi wa madini yetu Kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Yale yanayoendelea Kenya na South Africa ndowatu wanayapenda na wanafurahia na kuitwa ndomaendeleo, kukua kwa democrasia, yaan mwingie kwa magomvi, mabomu yaan wazungu wanawaita mmekua! Daaa hii dunia hii!
 
Unaongele
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.

Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?

Dah hakika Magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.

Ungeona ile clip ya video Nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa Magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua JPM kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa Mererani ili watu wao wezi wa madini yetu Kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Kumbe unaongelea huyu changudoa wa kisiasa wa kiume!
 
Pita maeneo ya sokoni nunua kamba nzuri ya katani kisha tafuta mzuri mkubwa halafu jitundike ukakutane na Magu huko aliko. ACHA KUTUPIGIA KELELE
 
Sheria gani iliutumika kuzifungia na kunyang'anya pesa??
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kapish. Ndio jibu langu, haya munijibu hayo chini bila ya shombo.

Mavi(shit)mnachagua mtu anayelindwa na asiyelindwa na sheria? Kwa mtu ambaye unahumuka hapa kila siku kuwa Sheria ndio kila kitu, haki ndio kila kitu, unakuja kuniletea maswali ya full of mavi(shit) ....shit sio tusi ehhh?

Ni sheria gani iliyotumika kuondoa Kesi anayodai alikuwa nayo Lema?

Ni sheria gani Iliyotumika kumuondolea Mbowe Kesi?

Ni sheri gani inayosema Mbowe sio Gaidi?
Ni sheria gani inayomlinda Msaliti?

Sitaki Shombo.
 
Magufuli alikuwa anaangamiza uchumi kwa siasa zake mbovu.
Hivyo basi, IMF, WB na wale wote waliokuwa wakitoa tathmini ya uchumi wetu kukua walikuwa waongo au ndio kusema walikuwa waoga? Kwamba Magufuli kitu chochote alicho kitaka, iwe Uchumi, Siasa, au Jamii akisema ' hii ndivyo ilivyo' basi, basi kila mmoja wa hao waliogopa na kutii tu. Yaani IMF, WB, na Serikali za nchi za magharibi waseme uchumi wetu umekuwa kwa sababu walikuwa wanamuogopa Magufuli? mbona Putin wanakula nae sahani moja?Kweli Hayati was A Giant. Hakika.

Aiidha kuna Ufilisi wa Fikra, au Kuna Unduminakuwili-na Ufitini na umalaya wa Siasa.

Msitudanganye, usijidanganye.
 
Hamna kitu, jiwe alikuwa mbinafsi na katili sana, angelitumbukiza taifa jalalani. Mungu aliyaona haya akapita nae. Mungu fundi nyie! Alitake advantage ya watanzania mambumbumbu kuwaambia kuwa 'nafanya haya kwa ajili ya watz maskini' basi wagogo na wasukuma woote wakajaa, mtu anabeba mabilioni anapeleka kijijini kwake kila mwezi kugawa??? Ivi kule tunduru ambako alikuwa haendi na wenyewe wangepataje pesa za umma? Mtwara walipelekewa jeshi kuwafilisi korosho eti taifa linanunua korosho za wakulima, akili au matope?? Eti unalazimisha chato kuwe na mbuga za wanyama kwa kusomba twiga nk na malori, umeambiwa ni ng'ombe zile?? Yaani ngosha ngosha tu, unabadilisha Kijiji chako kuwa mkoa Kisha makao makuu ya mkoa??? Yule mzungu aliyeshikilia ndege kule uholanzi tutamlipa ela yake possibly inalingana hata na bei ya hiyo ndege! Miradi kibao imejengwa na kampuni zake au za ndg zake Tena bila kufuata procedure wazi wazi. Ivi JK angejenga uwanja wa ndege Bagamoyo na kampuni ya ujenzi ikawa ya Riz pangekalika? Yule mwamba angekula hai sasa ivi kungekuwa na mradi wa ujenzi wa bandari ya chato na meli ya mv chato! Yaani unapeleka jeshi kwenda kufungia bureau de change kwenye mji wa kitalii Ili watalii waende BOT kubadilisha fedha kwa foleni, what a stupidity!!! Plea bargain, Sabaya, na mambo meengiii, nitakuwa wa mwisho kumsifu jiwe! Na ndiyo maana alikuwa mkali, ukiona mtu mkali sana weka ?????? Ana madudu mengi hataki kuulizwa, Raisi unawaamulia watz majimbo yote wamchague nani awe mbunge? Atakuwaje neutral kuihoji Serikali?? Yaani watu wamekubaliana kule handeni kuwa mgombea wao ni huyu, wewe ambaye kwenu ni chato unawakatalia unawaletea chawa wako kama mwijaku awe mgombea wao????
 
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.

Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?

Dah hakika Magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.

Ungeona ile clip ya video Nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa Magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua JPM kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa Mererani ili watu wao wezi wa madini yetu Kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Vipi takwimu za uchumi zina somekaje uchumi unapanda au unashuka?!
 
Hamna kitu, jiwe alikuwa mbinafsi na katili sana, angelitumbukiza taifa jalalani. Mungu aliyaona haya akapita nae. Mungu fundi nyie! Alitake advantage ya watanzania mambumbumbu kuwaambia kuwa 'nafanya haya kwa ajili ya watz maskini' basi wagogo na wasukuma woote wakajaa, mtu anabeba mabilioni anapeleka kijijini kwake kila mwezi kugawa??? Ivi kule tunduru ambako alikuwa haendi na wenyewe wangepataje pesa za umma? Mtwara walipelekewa jeshi kuwafilisi korosho eti taifa linanunua korosho za wakulima, akili au matope?? Eti unalazimisha chato kuwe na mbuga za wanyama kwa kusomba twiga nk na malori, umeambiwa ni ng'ombe zile?? Yaani ngosha ngosha tu, unabadilisha Kijiji chako kuwa mkoa Kisha makao makuu ya mkoa??? Yule mzungu aliyeshikilia ndege kule uholanzi tutamlipa ela yake possibly inalingana hata na bei ya hiyo ndege! Miradi kibao imejengwa na kampuni zake au za ndg zake Tena bila kufuata procedure wazi wazi. Ivi JK angejenga uwanja wa ndege Bagamoyo na kampuni ya ujenzi ikawa ya Riz pangekalika? Yule mwamba angekula hai sasa ivi kungekuwa na mradi wa ujenzi wa bandari ya chato na meli ya mv chato! Yaani unapeleka jeshi kwenda kufungia bureau de change kwenye mji wa kitalii Ili watalii waende BOT kubadilisha fedha kwa foleni, what a stupidity!!! Plea bargain, Sabaya, na mambo meengiii, nitakuwa wa mwisho kumsifu jiwe! Na ndiyo maana alikuwa mkali, ukiona mtu mkali sana weka ?????? Ana madudu mengi hataki kuulizwa, Raisi unawaamulia watz majimbo yote wamchague nani awe mbunge? Atakuwaje neutral kuihoji Serikali?? Yaani watu wamekubaliana kule handeni kuwa mgombea wao ni huyu, wewe ambaye kwenu ni chato unawakatalia unawaletea chawa wako kama mwijaku awe mgombea wao????
Umesomeka.
 
Sukuma gang Kwanza hamna hata hoja hivi benki zikifungwa nchi itaendelea vipi hamuoni nchi hii ilikua kwenye hatari ya kufilisika ndiyo maana miradi ilikua inaendeshwa kwa pesa za kukopa china tena kwa riba ya juu zaidi halafu mkabaki mnadanganywa kwmba ni pesa zetu
 
Ni vile tu watanzania tuliamua kuwa wajinga basi hakuna mtu anafuatilia mambo ya nchi tofaut na Simba na Yanga
 
Back
Top Bottom