Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

Huyu jamaa ni legit mkuu.
Mimi nimeongeanae. Shida ni location yake, aina ya bidhaa na hali zetu wanunuaji.

Yupo mbeya peripheral
Wanunuzi wengi wanapenda boxer
Wachache wenye will ya kuinunua hatuna hela.
Nimesha uza , Mungu alikuwa upande wangu Tena Kwa Bei nje ambayo sikutegemea , Mungu ni mwema Kwa kweli
 
Inaonekana una shida kubwa mkuu pole sana.....uwe mvumilivu muda utafika utauza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom