Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,907
- 82,173
Haipungui kidogo?
Usiandike hali ngumu kwenye tangazo lako la biashara chief,weka bango kama hauuzi kwa shida ili usionewe kwenye bei yako.
Kuna mwanangu ana uza sana hizi kawasaki pale kigamboniI'm in love with that chombo of yours,for real!Chombo ya kutoka Kawasaki,Enduro,Honda and the related "species" of the likes are my favourites!
Mkuu shida nipo pembezoni na platform ya kutoa matangazo ndo changamoto watuMmmmh mbeya yote hio hakuna wanunuzi?? Hmm 🤔
Mkuu nimepunguza sana hata hivo nimeamu tu Bora nijipange upyaHaipungui kidogo?
NAIUZA sababu ya changamoto binafsi mkuuKwanini unaiuza?
Tafuta mtu awe anapiga mishe za bodaboda kwa mkataba wiki 80K kuliko kuuza aset adimu kama hioMkuu shida nipo pembezoni na platform ya kutoa matangazo ndo changamoto watu
😄😄😄mzee wa chudaiHahhaha lazima yahusu pubis area tu😅
Mzee wa wataa😅😄😄😄mzee wa chudai
Boss nahitaji cash ya harakaTafuta mtu awe anapiga mishe za bodaboda kwa mkataba wiki 80K kuliko kuuza aset adimu kama hio
Nahitaji cash ya haraka bossHonda Ace haiuziki kirahisi kama Boxer BM125 au BM150. Kwa huko Mbeya sijui hali itakuwaje ila kwa Dar kupata mteja wa Ace labda awe mtu wa matumizi binafsi sio bodaboda.
Mpe mtu mkataba japo vijana ni pasua kichwa sana, 12k per day kwa miezi kadhaa urudishe hasara yako.
Hahaaa chizi we! zile za matatu ni unyama sanaa nazikubali.. hii hukai foleniNimewaza tu na hayo makebo makubwa mbona balaa...
Sawa nunua umuungishe mleta mada, ila hiyo siyo zile za matari matatu ulizozoea...
Tafuta mtu kama mfanyakazi! Atainunua...Nahitaji cash ya haraka boss
Kwa sababu umesema utanipa lifti, hata tukikaa foleni ni sawa...Hahaaa chizi we! zile za matatu ni unyama sanaa nazikubali.. hii hukai foleni
Nahisi msimu mkuu watu umewakalia vibaya, nimejaribu watumishi baadhi Bado Hali teteTafuta mtu kama mfanyakazi! Atainunua...
Siyo unahisi! Halli mtaani ni ngumu. Mzunguko wa fedha uko chini! Mafisadi wachache ndiyo wamejimilikisha fedha!Nahisi msimu mkuu watu umewakalia vibaya, nimejaribu watumishi baadhi Bado Hali tete
Nguvu ya mwanamke blazamin -me jamaa leo kaandika mistari takriban minne 😁😁😁
😄😄 wataa💦😄😄😄mzee wa chudai
Huyu jamaa ni legit mkuu.Ogopa sana wafanyabiashara maana hakuna mtu anafanya biashara ya hasara