Nimeshuhudia uongo!!!

Nimeshuhudia uongo!!!

Sasa ningefanyaje? Nilikataa akanisihi kwa machozi,ila bidada kanipigia cmu kusema jamaa kamwambia yeye c mtoto mdogo wa kudanganywa hivyo,isitoshe jamaa aliniona wakati nachukua rum so amejua hii story tumepika...hatari
Ciello leo umekuwa MNYOO wa kuvulia SAMAKI!!!!!!!!! Im so sad for you, huyo Mchumba aki MBARLOW huyo dada, Ciello ndani KUISAIDIA POLISI!!!!!!!!!1 We mwanza si unajua wana LOW TOLERANCE FOR CHEATERS!!!!!! Pray that it ends well, lasivo DEBE LINAKUITA!!!!!!!! Usiache kumpa hi! Lulu na Kajala.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa Mada hongera kuipagawaisha midume mi4 ukaingia kwa room ukabath ukampojea bishost ukamsindikiza mchumba wake ba wenzake wakakuona tena waelewa halafu ....... wakakuacha ???
picha haijafika THE END labda Episode
 
Ciello leo umekuwa MNYOO wa kuvulia SAMAKI!!!!!!!!! Im so sad for you, huyo Mchumba aki MBARLOW huyo dada, Ciello ndani KUISAIDIA POLISI!!!!!!!!!1 We mwanza si unajua wana LOW TOLERANCE FOR CHEATERS!!!!!! Pray that it ends well, lasivo DEBE LINAKUITA!!!!!!!! Usiache kumpa hi! Lulu na Kajala.

amejitaidi kuwa chambo ili aweze kumpata samaki, hebu tathmin kama yule jamaa angeamua kumbadilikia ingekuaje?
si ingekua baaaaaaaa!
 
Nilimsindikiza bishosti na si mchumba wake,hao watu sifahamiani nao nimekutana nao hapo hotelin
Mtoa Mada hongera kuipagawaisha midume mi4 ukaingia kwa room ukabath ukampojea bishost ukamsindikiza mchumba wake ba wenzake wakakuona tena waelewa halafu ....... wakakuacha ???
picha haijafika THE END labda Episode
 
Kauli zao ukiwa na ndoo et ubebe kidumu
ina maana ukienda kazini wenzako wana zamu....
 
mtoa mada anaonekana alikuwa too nyegetic wakati anaandika kwa bahati nzuri akafika kibo,akaacha kuandika!
 
Hujasoma kisa chote bali umecomment kwa mazoea, read btw the lines.....do u do that unapogenyeka??
mtoa mada anaonekana alikuwa too nyegetic wakati anaandika kwa bahati nzuri akafika kibo,akaacha kuandika!
 
......hivi mabinti wa siku hizi wakoje? Hutakiwi kukumbushia na vidume vyako miezi 6 kabla ya ndoa na miezi 6 baada ya ndoa.....

Halafu huyo walolala pamoja hoteli angekuwa anampenda sana si angemuoa???????

Aaaarrrggggghhhhhhhhhhhhhhh


....
 
Kweli yani, miye nimepigwa na butwaa, inakuwaje mtu anataraji kufunga ndoa ndani ya mwezi 1 then anacheat...why?
......hivi mabinti wa siku hizi wakoje? Hutakiwi kukumbushia na vidume vyako miezi 6 kabla ya ndoa na miezi 6 baada ya ndoa.....

Halafu huyo walolala pamoja hoteli angekuwa anampenda sana si angemuoa???????

Aaaarrrggggghhhhhhhhhhhhhhh


....
 
Wanawake wanaolewa na wasiowapenda na wanaume tunaoa tusiowapenda sana as vigezo ndo vinapanga ndoa..

Unakuta yule ambae mwanamke anampenda sana hana kazi ya kuelewela, may be elimu ndogo na anatoka familia duni so kwenye kuolewa hapo anasita japokuwa anampenda na mwanaume nae kwenye kuoa anakutana na hali hiyo so cheating haziwez isha hata iweje as ndoa hazipangwi na upendo bali vigezo
 
duh pole yake bidada... ye anajua anamchumba then anacheat town kabisa... kha mwambie aje nimpe darasa ... kamwe hatokamatwa!!!!!
 
Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni....Nimeingia mwanza mida ya jioni nikachukua tax mpaka hotel moja mpya,nikalipia rum na kukabidhiwa keys.Wakati naelekea rum nikapita kwenye ukumbi wa hotel,nikaona wanaume wanne wameketi wanapiga maji,nikawasalimu then nikazama rum.Afterwards nikatake shower na kupiga msosi wangu then nikanyuti kwa bed nikicheck movies.Basi after 1hour, nikasikia hodi mlangoni,kwenda kufungua nikakuta ni receptionist,nikamkaribisha kwa rum.Bidada akaanza kumwaga sera kuwa kuna mwanamke mwenzetu kakubwa na mkasa anahitaji msaada wangu.Nikauliza kakutwa na mkasa gani? Receptionist akanambia bishosti kagonganisha magari,buzi na mchumba wake,so akanisihi nimsaidie kuokoa jahazi.Nikamwambia ok mwite bishosti aje anipe ful story nijue narescue vipi huo msala.basi bana bishosti akaja kwa rum michozi kibao yamtiririka nikamwambia cool down kwanza then nipe mchapo,akanyamaza akaanza kunipa story kuwa mchumba wake alisafiri nje ya mwnz bidada akaamua kuchukua buzi wakazama kwa hoteli wakabanjuka baada ya kula tunda bidada akatangulia kutoka na njia ni ileile ya kupita ukumbini, so lahaula akakutana na mchumba wake macho kwa macho,mchumba akamwuliza flani hujambo bidada akajibu sijambo then mshkaji akaendelea kupiga maji na wenzie kama hakuna lililotokea.then bishosti akachukua tax akasepa njiani akamhadithia dreva tax yalomkuta,dreva tax akamshauri arudi aongee na receptionist wasolve huo msala.basi wakarudi bidada akaenda kwa receptionist akimwomba msaada,receptionist akaamua kuja kwangu kwani amejenga mazoea flani kati yake nami .ikapikwa story kuwa miye ni skuli mate wa bidada so nilimwagiza anibukie rum then tukaendelea na story coz hatujaonana long,2kashauriana bidada asiseme lolote kwa mchumba wake hadi mwenyewe aulize.tukatoka rum kwangu nikamsindikiza bidada 2kipita palepale ukumbini so mchumba wake na wenzie walituona.baada ya bidada kuchukua tax mie nikarud rum, jamaa yake akameza bait yetu, akaniita kunihoji nami nikatema story kama nilivyomeza desa, lakin nilimwona hakubuy the story.wanamwezi mmoja tu waoane bidada anasema anamzimia mchumba wake na hajawahi mfumania zaid ya leo.kweli nimeamin cheating is real...lol,i feel bad kushiriki bt mayb sometimes its justifiable

Labda tuseme umeshiriki uongo au unaonaje?
 
Kuna uongo mzuri na uongo mbaya............
saa sijui huu unaangukia wapi..............................?
 
Kuna uongo mzuri na uongo mbaya............
saa sijui huu unaangukia wapi..............................?

Huu ni uongo mbaya kwani ni wazi huyo bishosti hamfai hiyo kaka.. Hata wakioana ataendelea kumletea vidumu.. Ciello utubu dhambi na umuelezee ukweli huyo kaka. What comes around goes around..
 
Last edited by a moderator:
Umeamua kuwa "partaker" wa dhambi ya uzinzi ya mtu usiyemfahamu? Mhhhh!
 
Waongo wote na wazinzi na wale wanaoshiriki kufanikisha uongo na uzinzi hawatauona ufalme wa mbingu. Nakuhurumia sana shosti Ciello
 
Back
Top Bottom