Nimeshuhudia uongo!!!

Nimeshuhudia uongo!!!

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
4,274
Reaction score
2,523
Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni....Nimeingia mwanza mida ya jioni nikachukua tax mpaka hotel moja mpya,nikalipia rum na kukabidhiwa keys.Wakati naelekea rum nikapita kwenye ukumbi wa hotel,nikaona wanaume wanne wameketi wanapiga maji,nikawasalimu then nikazama rum.Afterwards nikatake shower na kupiga msosi wangu then nikanyuti kwa bed nikicheck movies.Basi after 1hour, nikasikia hodi mlangoni,kwenda kufungua nikakuta ni receptionist,nikamkaribisha kwa rum.Bidada akaanza kumwaga sera kuwa kuna mwanamke mwenzetu kakubwa na mkasa anahitaji msaada wangu.Nikauliza kakutwa na mkasa gani? Receptionist akanambia bishosti kagonganisha magari,buzi na mchumba wake,so akanisihi nimsaidie kuokoa jahazi.Nikamwambia ok mwite bishosti aje anipe ful story nijue narescue vipi huo msala.basi bana bishosti akaja kwa rum michozi kibao yamtiririka nikamwambia cool down kwanza then nipe mchapo,akanyamaza akaanza kunipa story kuwa mchumba wake alisafiri nje ya mwnz bidada akaamua kuchukua buzi wakazama kwa hoteli wakabanjuka baada ya kula tunda bidada akatangulia kutoka na njia ni ileile ya kupita ukumbini, so lahaula akakutana na mchumba wake macho kwa macho,mchumba akamwuliza flani hujambo bidada akajibu sijambo then mshkaji akaendelea kupiga maji na wenzie kama hakuna lililotokea.then bishosti akachukua tax akasepa njiani akamhadithia dreva tax yalomkuta,dreva tax akamshauri arudi aongee na receptionist wasolve huo msala.basi wakarudi bidada akaenda kwa receptionist akimwomba msaada,receptionist akaamua kuja kwangu kwani amejenga mazoea flani kati yake nami .ikapikwa story kuwa miye ni skuli mate wa bidada so nilimwagiza anibukie rum then tukaendelea na story coz hatujaonana long,2kashauriana bidada asiseme lolote kwa mchumba wake hadi mwenyewe aulize.tukatoka rum kwangu nikamsindikiza bidada 2kipita palepale ukumbini so mchumba wake na wenzie walituona.baada ya bidada kuchukua tax mie nikarud rum, jamaa yake akameza bait yetu, akaniita kunihoji nami nikatema story kama nilivyomeza desa, lakin nilimwona hakubuy the story.wanamwezi mmoja tu waoane bidada anasema anamzimia mchumba wake na hajawahi mfumania zaid ya leo.kweli nimeamin cheating is real...lol,i feel bad kushiriki bt mayb sometimes its justifiable
 
Mambo gani ya hayo YA KURUSHANA STIMUUUU!!!!!!! Mwaga radhi! mwaga radhi! Mwaga radhi! eeeeeh! MIDUME IKAKUIBUKIA SHOWER!!!!!!!!! Nasikia midume ya mwanza hasa yenye hisa kwenye SAMAKI haipendi kudorishiwa KIDUDE, iko radhi INYAKUE BILA RIDHAAA!!!!!!
 
Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni....Nimeingia mwanza mida ya jioni nikachukua tax mpaka hotel moja mpya,nikalipia rum na kukabidhiwa keys.Wakati naelekea rum nikapita kwenye ukumbi wa hotel,nikaona wanaume wanne wameketi wanapiga maji,nikawasalimu then nikazama rum.Afterwards nikatake shower na kupiga msosi wangu then nikanyuti kwa bed nikicheck movies.

alafu baada ya hapo ikawaje my dear?
 
Hahahahah cyo hivyo shosti namwaga radhi we fuatilia 2
Mambo gani ya hayo YA KURUSHANA STIMUUUU!!!!!!! Mwaga radhi! mwaga radhi! Mwaga radhi! eeeeeh! MIDUME IKAKUIBUKIA SHOWER!!!!!!!!! Nasikia midume ya mwanza hasa yenye hisa kwenye SAMAKI haipendi kudorishiwa KIDUDE, iko radhi INYAKUE BILA RIDHAAA!!!!!!
 
Mambo gani ya hayo YA KURUSHANA STIMUUUU!!!!!!! Mwaga radhi! mwaga radhi! Mwaga radhi! eeeeeh! MIDUME IKAKUIBUKIA SHOWER!!!!!!!!! Nasikia midume ya mwanza hasa yenye hisa kwenye SAMAKI haipendi kudorishiwa KIDUDE, iko radhi INYAKUE BILA RIDHAAA!!!!!!

hebu mweleze huyo ciello asitupandishe mizuka coz icho kidude anapokilaza kinakua kimepanda juu na kwa hayo majamaa yanaelekea hayakumuacha hivi hivi.
 
Mtoa mada anaonekana alivyokuwa anaandika hii mada alikuwa ana WENGE na ndio sababu haijakamilika au yeye ndio mwongo na hakushuhudia UONGO anaodai
 
hebu mweleze huyo ciello asitupandishe mizuka coz icho kidude anapokilaza kinakua kimepanda juu na kwa hayo majamaa yanaelekea hayakumuacha hivi hivi.

Yamuache yanaumwaaaa!!!! We NYAMA IMEJIPITISHA KWA SIMBA MWENYE NJAA TENA IMESAALIMIA!!!! "ANKO SIMBA MNAENDELEAJE? MI NIKO MWENYEWE, NA NIMESHAPAKWA GARLIC, GINGER, CINAMON, CUMMIN NA MASTARD, SASA SIJUI MNANGOJA NINI KUNILA!!!!?" AFU HIYO IKAELEKEA ROOM!!!!!!!!!

Weeeeeeeeee!!!! Laimza nyama iliwe
 
Hahahahah cyo mimi bana ngoja nimalizie story lol

hiyo ni sawa na yule jamaa aliyeenda kumuombea mkewe akalale na rafiki yake eti kisa wamefukuzwa na baba

mwenyenyumba kisa hawajalipa kodi, huku ukiangalia yule rafiki hajaoa. We unazani mke ataachwa?
 
Mi nalala episode zingine kesho, manake waandika kama wagawa kikombe cha babu
 
Ciello mbona kmya kmetanda au ni wewe kweli maana nimekuvumilia kwa muda mrefu halafu na wewe unatafuta chakutunga. Kama ni story za mirungi uc2letee.
 
Its true mkuu SAUDARI cjatunga mwenyewe cjaamin ilikuwa kama muvi....
Ciello mbona kmya kmetanda au ni wewe kweli maana nimekuvumilia kwa muda mrefu halafu na wewe unatafuta chakutunga. Kama ni story za mirungi uc2letee.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ciello leo umekuwa MNYOO wa kuvulia SAMAKI!!!!!!!!! Im so sad for you, huyo Mchumba aki MBARLOW huyo dada, Ciello ndani KUISAIDIA POLISI!!!!!!!!!1 We mwanza si unajua wana LOW TOLERANCE FOR CHEATERS!!!!!! Pray that it ends well, lasivo DEBE LINAKUITA!!!!!!!! Usiache kumpa hi! Lulu na Kajala.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom