Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Nimejifunza vitu vikubwa 3 kwenye huu uzi.
1:Wakati wa raha kila mtu atakushobokea lkn wakati wa shida humuoni mtu.
2:Wakati wa usiku hospitali nyingi huduma hakuna na kama zipo basi ni mbovu sana na wahudumu hulala fofo.
3:Kifo ni kama umeme.
Unakatika na kuja haraka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo namba 2 ni kweli tena hospital zote binafsi na serikali sababu usiku ni muda wa kulala jinsi mwili wetu ulivyokuwa tuned biologically au genetically.
Sasa kuushinda usingizi mtihani.

Na hiyo mida watu wengi ndio wanakufa kwa kukosa uangalizi mzuri wa wauguzi na daktari. Vifo vingi manane ya usiku au alfajiri wakati wauguzi wamelala fofo.
 
Logistics zikiwa nzuri mnapiga CPR mtu anarudi kawaida, but inadepend na status ya mgonjwa. Kama mtu anaumwa ugonjwa ambao ni endstage mtapiga CPR ili iweje?

Mkipiga CPR mtu akarud dispostion yake ni ICU mara nyingi, sasa ukikuta ni familia masikin km tulivyo watz wengi hapo utakuwa unawaongezea gharama zisizo na msingi na unajua mtu akienda ICU gharama zake ni kubwa sana.

Sasa tujiulize hospitali ngapi hapa nchini mwetu zina ICU? Huko mawodini kuna logistics zote za emergency? Ndo mana nasema kulingana na mazingira yetu yalivyo utakuta nurse/doctor anajua kabisa huyu mgonjwa anaenda kufa lakini ukiangalia hali halisi unajikuta huna la kufanya, unabaki na dilemma tuu.

All in all REST IN PEACE MWAMBA.
Inaumiza kwa kweli, na bado tuko nyuma sana kimatibabu.
Na wengi tutamfuata mwamba tu
Ingawa wote tutakufa lakini tunahitaji huduma zaidi ingawa unakata roho bila mateso sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hamna namna, na watz wasivojua kuelekeza lawama sehemu sahihi basi watumishi wa afya wanapata tabu kwelikweli
Inaumiza kwa kweli, na bado tuko nyuma sana kimatibabu.
Na wengi tutamfuata mwamba tu
Ingawa wote tutakufa lakini tunahitaji huduma zaidi ingawa unakata roho bila mateso sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kifo ni siri kubwa na Kufa ni rahisi sana hasa ukiwa mgonjwa au mzee sana
 
Logistics zikiwa nzuri mnapiga CPR mtu anarudi kawaida, but inadepend na status ya mgonjwa. Kama mtu anaumwa ugonjwa ambao ni endstage mtapiga CPR ili iweje?

Mkipiga CPR mtu akarud dispostion yake ni ICU mara nyingi, sasa ukikuta ni familia masikin km tulivyo watz wengi hapo utakuwa unawaongezea gharama zisizo na msingi na unajua mtu akienda ICU gharama zake ni kubwa sana.

Sasa tujiulize hospitali ngapi hapa nchini mwetu zina ICU? Huko mawodini kuna logistics zote za emergency? Ndo mana nasema kulingana na mazingira yetu yalivyo utakuta nurse/doctor anajua kabisa huyu mgonjwa anaenda kufa lakini ukiangalia hali halisi unajikuta huna la kufanya, unabaki na dilemma tuu.

All in all REST IN PEACE MWAMBA.
Utetezi wa kijinga sana huu, hata kama Dr ushajua mgonjwa anakaribia mauti hutakiwi kumwacha at least jitoe unavyoweza kumsaidia apumzike salama na si kumwacha ahangaike peke yake ukisubir uje u certify death.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.

Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!
Dah! Ulimtenda halafu akaja akakuokoa maisha yako wakati mshabwagana!
Hivyo ni kweli lazima ukae ukijuta siku zote za maisha ulizobakisha, kwamba ulichezea shilingi kwenye choo cha shimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Dr Atafanya nini wakati mgonjwa ameshaanza process ya kufa? Kifo hakianzi siku unayokufa ila kinaanza muda mrefu na hapo hospitalini ni hitimisho
Not true kuna huduma ukipata ontime life can be rescued. Kuna wengi hufariki kwa sababu huduma stahiki hazikupatikana kwa wakati muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom