donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,612
- 3,243
Kama ni hivyo nchi zilizoendelea kama ulaya watu wasingefia hospitalini,,,,,,,,think think ,,,,!!!!!Not true kuna huduma ukipata ontime life can be rescued. Kuna wengi hufariki kwa sababu huduma stahiki hazikupatikana kwa wakati muafaka.
Sent using Jamii Forums mobile app