Nimeshtushwa na taarifa kwamba ACT Wazalendo wameungana na CCM kupinga maandamano ya CHADEMA

Naona mbuzi zinataka kumjaribu Mama, wanamuona mpole sana
Sasa jaribuni muone, wakati wa jiwe mlibakwa kwenye uchaguzi, hakuna hata mbuzi ilisema muandamane
Mama kawapa uhuru kujiachia mnataka mumpande kichwani, tusubire tuone kichapo live
Watu na mawazo kama ya huyu ndio shida zote zinapoanzia, bila aibu jitu zima eti linaandika mama kawapa uhuru, au mama katoa pesa, jifunzeni kidogo serikali inavyofanya kazi na haki za msingi za raia Labda ujinga mtapunguza
 
Acha hasira mbwa wewe. Maandamano yapo na yanatambulika kikatiba. Kwa nini wapigwe? Mbona maandamano ya kumpongeza mama hatukuona watu wakipigwa, sometimes tumia akili, watu humu hatujashikiwa akili kama wewe kahaba wewe
 
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi.
Nimemsikia huyu mtu wa ACT Wazalendo Dodoma, akijiita ACT Wazalendo Makao Makuu Dodoma!. Hakuna kitu kama hicho!. ACT Wazalendo ni chama makini, taarifa zote rasmi za chama zinatolewa kwa maandishi, hivyo yale ni maoni binafsi ya Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Dodoma.

Hata ikitokea ACT Wazalendo hawaungi mkono maandamano ya Chadema, watakausha kimya kimya.
Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani.
naunga mkono hoja, kukaa kimya pia ni jibu na ni ujumbe tosha sometimes silence is more powerful, more effective than shouting!.
ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa na vyama ambavyo havina wanachama. Inapotajwa kwenye hoja kama hizi kwamba inaungana na CCM wanachama wake wanajiuliza hiki chama kiliundwa cha kazi gani kama hakionI changamoto za utendaji wa chama tawala
yule ni mtu wa ACT Wazalendo sio ACT Wazalendo kama chama.
Tafsiri ya hiki kilichofanywa na ACT ni kwamba CHADEMA wapo peke yao kwenye hoja ya katiba, chadema wapo peke yao kulalamikia ugumu wa maisha. Kwa maana nyingi ni chama kimoja tu kinachokuja na hoja kinzani dhidi ya CCM. Vyama vilivyobaki vinaungana 100% na kila jambo la CCM.
Sii kweli.
Na hii unaiona hadi kwenye uchaguzi wa ACT unaoendelea. Viongozi wote wanaopitishwa mikoani ni wanachama wa CCM na hakuna kumbukumbu kwamba waliwahi kurejesha kadi za ccm
Mtu kujitoa chama fulani sio lazima arejeshe kadi yake ya chama cha awali!. Dr. Slaa alikuwa CCM, akailipia kadi yake miaka 20 mbele, akajiunga Chadema, hakuwahi kurudisha kadi ya CCM na hata baada ya kujitoa Chadema, hajawahi kurudisha kadi ya Chadema!.
P
 
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi.

Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa na vyama ambavyo havina wanachama. Inapotajwa kwenye hoja kama hizi kwamba inaungana na CCM wanachama wake wanajiuliza hiki chama kiliundwa cha kazi gani kama hakionI changamoto za utendaji wa chama tawala

Tafsiri ya hiki kilichofanywa na ACT ni kwamba CHADEMA wapo peke yao kwenye hoja ya katiba, chadema wapo peke yao kulalamikia ugumu wa maisha. Kwa maana nyingi ni chama kimoja tu kinachokuja na hoja kinzani dhidi ya CCM. Vyama vilivyobaki vinaungana 100% na kila jambo la CCM.

Na hii unaiona hadi kwenye uchaguzi wa ACT unaoendelea. Viongozi wote wanaopitishwa mikoani ni wanachama wa CCM na hakuna kumbukumbu kwamba waliwahi kurejesha kadi za ccm
Hii nchi ina ujinga sana na upuuzi wa aina hii ndio utakaofanya CCM izidi kutawala miaka nenda miaka rudi.

Hizi habari za usaliti zikiletwa humu kumuhusu Mbowe,Lisu au Mnyika huwa wafuasi wa Chadema wanataka ushahidi na maneno ya kila rangi wanatoa.

Ila habari ya usaliti ikiletwa kumuhusu Zitto au ACT hauoni watu hao hao wakitaka ushahidi ili kuthibitisha kuwa wao ni watu wademokrasia/wapigania haki.

Hii habari umeileta bila ushahidi wowote zaidi ya kujaza maneno yakusikia na kuhisi na mbaya zaidi kuna wanafiki wanakuunga mkono kwa maneno ya kila rangi.

Mimi nikuombe mleta mada na wanaokuunga mkono leo naomba nipewe ushahidi wa usaliti wa ZITTO ili namimi nijue usaliti wake sio siasa za maji taka.

Nasisitiza tena naomba kupatiwa ushahidi wa usaliti wa Zitto ikiwa sauti,video n.j itapendeza sana au hata nyaraka ambazo zinathibitisha usaliti wake.
 
Mikakati sahihi maana yake nini.Ina maana mikakati sahihi ni ile ya ya CHADEMA. Kila chama cha siasa kina uhuru wa kisiasa na siyolazima kikubaliane na CHADEMA. Tatizo la CHADEMA ni kujivisha taji la chama kikuu cha upinzani na kuamini hivyo, na kwa mantiki hiyokudhania vyama vyote vya upinzani lazima vifuate nyayo za CHADEMA. You are wrong. Each and every party has liberty to determine their direction. We do not need copycat parties. Kama CHADEMA hamna mvuto shauri, msitegemee kuungwa mkono kirahisi.
Kama kila chama kinao uhuru wa kuamua mambo yao,imekuaje hao vyama vingine vije kuzungumzia maandamano yaliyotangazwa na chama kingine?
Nyie vyama vingine hamuoni kuwa huo ni uhuru wa chama kilichotangaza maandamano ambao mnataka kuuingilia?

Maandamano yaliyotangazwa na chadema,ni dhidi ya serikali siyo dhidi ya hivyo vyama, navyo kwa kutumia uhuru wao watangaze wanachotaka lakini siyo kudandia jambo la wenzao
 
Naona mbuzi zinataka kumjaribu Mama, wanamuona mpole sana
Sasa jaribuni muone, wakati wa jiwe mlibakwa kwenye uchaguzi, hakuna hata mbuzi ilisema muandamane
Mama kawapa uhuru kujiachia mnataka mumpande kichwani, tusubire tuone kichapo live
hii nchi ina watu wajinga ukianza na ww , kwan mama ni mungu asikosolewe?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Tafsiri ya hiki kilichofanywa na ACT ni kwamba CHADEMA wapo peke yao kwenye hoja ya katiba, chadema wapo peke yao kulalamikia ugumu wa maisha. Kwa maana nyingi ni chama kimoja tu kinachokuja na hoja kinzani dhidi ya CCM. Vyama vilivyobaki vinaungana 100% na kila jambo la CCM.
Tuko na MUNGU Ndugu yangu, wala usijali kabisa. Tutashinda tu
 
Watu na mawazo kama ya huyu ndio shida zote zinapoanzia, bila aibu jitu zima eti linaandika mama kawapa uhuru, au mama katoa pesa, jifunzeni kidogo serikali inavyofanya kazi na haki za msingi za raia Labda ujinga mtapunguza

Acha hasira mbwa wewe. Maandamano yapo na yanatambulika kikatiba. Kwa nini wapigwe? Mbona maandamano ya kumpongeza mama hatukuona watu wakipigwa, sometimes tumia akili, watu humu hatujashikiwa akili kama wewe kahaba wewe

hii nchi ina watu wajinga ukianza na ww , kwan mama ni mungu asikosolewe?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Nyinyi mbuzi, mtapiga kelele humu mitandaoni kutwa kuchwa,
Lakini ikifika siku ya kuandamana, huwa maandamano yanaanzia mitaa ya Twitani(X), halafu yanaelekea barabara ya fecibuku, na kula kona viunga vya insta, na baadae kuishia viwanja vya JF kuendeleza perepete
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom