Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Binafsi mimi sio CCM lakini nilikuwa team magu.
Eti mimi ni nani?
 
Angalia walichofanya uingereza sasa hivi baada ya corona kuwanyanyasa sana!

Hatua hii waliyoichukua uingereza yeye Magu aliiona tangu corona inaingia.

Sasa raia za huko zikiona hali hii lazima zimkumbuke Magu
Wamechukua hatua gani?
 
Sio propaganda za CCM ila JUA CCM kabla Magufuli hajawa chairman ndo ile ulikuwa ukipita mtaani shati lako la CCM unazomewa ila kiutendaji Magu alikuwa Vizuri na ndio maana sasahivi CCM wanapita na mashati yao huku hawana ata kiwewe cha kuzomewa.

Watu washaona wapuuzi ni wachumia tumbo
 
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Nilikuwa hata simjui Kanumba, mtu wa Cameroon ndio akanitaarifu juu ya kifo chake. Inaelekea wanavutiwa na Tz.
 
Angalia walichofanya uingereza sasa hivi baada ya corona kuwanyanyasa sana!

Hatua hii waliyoichukua uingereza yeye Magu aliiona tangu corona inaingia.

Sasa raia za huko zikiona hali hii lazima zimkumbuke Magu
Wamefanya nini? Tafuta mkalimani ndugu!
 
Angalia walichofanya uingereza sasa hivi baada ya corona kuwanyanyasa sana!

Hatua hii waliyoichukua uingereza yeye Magu aliiona tangu corona inaingia.

Sasa raia za huko zikiona hali hii lazima zimkumbuke Magu
Magu alikuwa anaona mbali mno, wewe acha wajitoe ufahamu tu. Nabii hakosi heshima isipokuwa katika watu wa nchi yake. We miss him so much, naona ile mamlaka imepotea kabisa, siridhiki kabisa now.
Mzee alikuwa anapinga kabisa mirdi ya kipigaji, ndiyo maana sasa hivi UDA imerejea rasimi barabarani, ndiyo utajua saizi kuna ombwe fulani limeanza kuonekana.
 
Jiwe alijua kutumia dola vizuri dhidi ya wapinzani wake hado wakanywea kabisa. Hakuna mtoto wa kambo angetaka kuingia kwenye 18 za kijani kama Kabendera.
Sio propaganda za CCM ila JUA CCM kabla Magufuli hajawa chairman ndo ile ulikuwa ukipita mtaani shati lako la CCM unazomewa ila kiutendaji Magu alikuwa Vizuri na ndio maana sasahivi CCM wanapita na mashati yao huku hawana ata kiwewe cha kuzomewa.
 
Kuna Mtoto kazaliwa huku Kapewa jina MAGUFULI, Nimefurahi sana
GOD IS GREAT
Sasa kama kuna watu wanaitwa mbiti (fisi), chonza (kicheche), ng'holo (kondoo), kaswalala (manyunyu), kabula ( mvua ndogo), mbula (mvua), kalunde (kawingu) etc etc so what's so special with the name u have mentioned?
 
Alikua Raisi wa kipekee Tanzania Mwaka 2015 - 2021, huo ndio u'special wake una lingine ?
 
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Mkuu hao ni watu wazima, kibaya chajitembeza chema chajiuza. Kama wewe humkunali jpm sio wote wana mtazamo wako.
haiti walifanya maandamano mitaani kwao kuomboleza kifo cha jpm. Kama wewe humkubali ni sawa ila pia kama wengine wanamkubali ni sawa...
 
Back
Top Bottom