Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

Magu alikuwa anaona mbali mno, wewe acha wajitoe ufahamu tu. Nabii hakosi heshima isipokuwa katika watu wa nchi yake. We miss him so much, naona ile mamlaka imepotea kabisa, siridhiki kabisa now.
Mzee alikuwa anapinga kabisa mirdi ya kipigaji, ndiyo maana sasa hivi UDA imerejea rasimi barabarani, ndiyo utajua saizi kuna ombwe fulani limeanza kuonekana.
Nakuunga mkono yaani
 
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Hata hapa mbona MATAGA wengi waliweka sana ila baada ya report hii ya CAG, wengi wao wameitoa!!SHUJAA WA AFRIKA kawatia aibu!!!
 
Humu wamejaa wanaharakati,tena wenye roho mbaya na unafiki wa kupindukia.Tegemea mitazamo hasi na dhihaka.
Kwa madudu hayo ya ripoti ya CAG, bora uniite mchawi kabisa!!eti mzalendo kumbe mpigaji tu, kumbe wafanyakazi walikuwa wakiishi kwa matumaini hewa, ohoo ngoja nimalize miradi mikubwa niwaongezee mishahara kwa upigaji huo, wangesubiria sana!!sasa mfano CAG, aamlishwe kuzitoa ripoti halisi zote za miaka 5, watu si watazimia??
 
Ripoti ya CAG haijawahi sifia serikali.Toka nianze kufuatilia ripoti ya CAG siku zote huonyesha mapungufu katika matumizi ya fedha za serikali. Cha msingi ni sisi kuipima serikali kupitia mambo tunayoyaona kwa macho.
 
Heeee!!kwani jukumu la ofisi ya CAG, ni kuisifia serikali?!!kuonyesha mapungufu ndio kazi yake kubwa na kushauri tu, kwani hayo mambo unayoyaona kwa macho chanzo chake si pesa?ambazo huzioni kwa macho?hayo mabilioni yanayopotea si yangefanya zaidi ya hayo unayoonyeshwa kwa macho? Siku zote ukiona serikali inakimbilia kufanya mambo yake gizani jua , siku mwanga ukija ni balaaa!!kwanini serikali za nchi zilizoendelea ufisadi unakuwa kidogo sana au hakuna ni kwasababu kila kitu kiko wazi na ni mifumo yote iko huru, sasa kilichotufikisha hapa ni ONE MAN SHOW!!akajifanya yeye ndio anauchungu sana na nchi na walio wengi wakamuamini, waliokataa kumuamini wakaonekana ni kikwazokwake!!yako wapi sasa??!eti tuko kwenye vita ya kiuchumi na mabeberu kwa upigaji huu??!
 
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Hakuna watu wanapenda ushirikina kama Wanaigeria...

Huenda wanamchukulia mwendazake kama msukule kwenye mauchawi yao...

You never know with Nigerians
 
Sio propaganda za CCM ila JUA CCM kabla Magufuli hajawa chairman ndo ile ulikuwa ukipita mtaani shati lako la CCM unazomewa ila kiutendaji Magu alikuwa Vizuri na ndio maana sasahivi CCM wanapita na mashati yao huku hawana ata kiwewe cha kuzomewa.
Kwa hiyo Hayati Magufuli amewasafishia nyota CCM??.
 
Angalia walichofanya uingereza sasa hivi baada ya corona kuwanyanyasa sana!

Hatua hii waliyoichukua uingereza yeye Magu aliiona tangu corona inaingia.

Sasa raia za huko zikiona hali hii lazima zimkumbuke Magu
Kwa Kweli kwa Ishu ya Corona, Magufuli amechukua point zote aliwazidi kete wazungu.
 
Back
Top Bottom