Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.