Elections 2010 Nimeshitushwa: Watanzania hawafanyi Kazi

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
 
propagandalist on business.

Kazi gani? Zile ajira milioni moja za kuokota chupa za maji ya plastiki?

shut-up.
 
mimi ninafanya kazi, jaana baada ya kura nilikua ofisini hadi usiku, lakini leo nilivotoka tu ile kumi nan nusu moja kwa moja hadi loyola kulinda ccm wasituchakachue, kesho moja na nusu nitakua nimepiga tai na nitakua ofisini tena, vipi, inatosha au unataka wanaJF wengine wakujibu?
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Hata nchi tajiri zenye high employement rates wananchi wanafanya the same...Mkuu unashindwa hata kuficha uoga na uzandiki na wasiwasi wa kukosa ulaji wa kifisadi?Una wasiwasi gani kama kura za ccm nazo zinalindwa?Naona mambo ni tight in ever angle...Pole sana.Tanzania ni ya wote,hopefully utaelewa hilo mara baada ya mabadiliko ya kweli kuwekwa wazi.
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Acha walinde haki yao. Hata ningekuwa mimi ningeweza kuomba ruhusa kazini kwa siku hiyo moja nilale hapo kuhakisha usalama wa kura yangu.
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Hukustushwa na vitendo vya mafisadi kuiba mabilioni ya pesa za walipa kodi! iweje leo ustushwe na kitendo cha Watanzania kufuatilia mustakabali wa nchi yao baada ya uchaguzi mkuu? acha usanii!
 
Unataka watu wapewe muda mzuri wa kuchakachua? Nafasi hiyo mwaka huu haipo tena. Afadhari kazi zisimame hata kama ni week moja ila haki ipatikane.
 
NEC na serikali iliyopita ingelifanya kazi ipasavyo Leo hii watanzania unaotaka kuwasuta pasipo kujiuliza vyema nafsi yako wote wangelikuwa makazini leo hii, maana matokeo yangelikwisha kuwa yametangazwa jana ileile. Licha ya JK kuzunguka dunia yote hadi makao makuu ya Google teknohama ya kuwezesha hili imepuuzwa hali si aghali hivyo...gharama ya nyumba ya gavana na ile ya ujio wa Brazil ungeliwezesha hilo!!
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Kazi tutafanya next week,yaani leo ndo umeona umuhimu wa kazi baada ya chama cha mafisadi kuzidiwa nguvu?tunasubiri Dr.slaa atangaze mpango mpya wa ajira si hii ya danganya toto ya ccm!tena ukome kabisa!
Hautbanduki hadi kieleweke!kazi badaee
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Rafiki unatumia mwanga wa koroboi kutizama ajira zinazopatikana tz. Haukumsikia JK akisema hata muzibua vizibo vya vinywaji kinondoni ktk glossary in kati ya zile ajira!!

Eti Unashangaa!!
 
Wee ajira tz ipo kwa waandika ma proposal fake ya miradi ya kuchota pesa toka kwa int agencies na banks.Wanaandika wataajiri watu 100 wakichota pesa hawaajiri wanafisadi tuu!mazingira ya kujiajiri nayo hayakupi nafasi mimi na wewe!TRA,mfumuko wa bei unajikuta unafanyia kazi kodi nauli etc.
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

CCM wamezidi kubaka demokrasia. Uchakachuaji umezidi. Ndiyo maana watz wameamua. hakuna gari kuingiza chochote wala kutoa. NEC ingekuwa waaminifu, tusingekuwa na wasi wasi
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Wewe kakoje ukalale ..................... hizo kazi wamfanyie nani? fisaidi ............ kakojoe ulale nyambafu :A S angry:
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Si Raisi wako wa CCM aliwaahidi ajira millioni moja? au sasa hii ya kulinda kura ndio umeiona sio kazi? Na sasa unataka waondoke ili mpate kuchakachua vizuri sio? Thanks kwa CCM kwa hizi ajira millioni moja! Wa-Tanzania endeleeni na 'uzalendo' wenu wa kulinda kura zenu, kwani ni moja ya sehemu ya ajira vilevile.
 
jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
.kaka wew lazima utakuwa walewale.nakushangaa sana na hujui
 
afadhali hao wasiofanya kazi kwa sababu maalumna kipindi maalum (uchaguzi kuliko serikali ya kikwete yenye 80% ya watumishi wanakwenda ofisini kusoma magazeti ya udaku kwa miaka mitano

kazi yao kubwa ni kuomba rushwa

kikwete hata akirudi anatakiwa alione hilo
 
Back
Top Bottom