Elections 2010 Nimeshitushwa: Watanzania hawafanyi Kazi

Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Nafikiri wewe u mgeni Tanzania hii. Wenzio wanasikitika wanafanya kazi lakini kipato hawakioni. Wamechoshwa na kupeleka watu Bungeni wanaenda kusinzia. Wanasikitika kuwa na Rais anayewaambia hajui kwanini watanzania ni maskini wakati rasilimali chama chake kimegawa kwa wageni.

Hawaoni maana ya kuwa na viongozi wanaokumbatia ufisadi. Hawataki kuwaona viongozi wanaolea uzembe makazini na wanaojipenda wenyewe. Nahisi nawe ni mmoja wa viongozi hao au mtoto wao ndo maana hujui kama tanzania kuna shida.

Tuna shida ya mfumuko wa bei, madawa feki mahospitalini, shida ya umeme, maji, usafiri, walimu nk.

Sitakutofautisha na yule Malkia wa Ufaransa.

Ni vyema kulinda kura yako leo siku moja na ukaishi kwa uhakika miaka mitano kuliko kujifanya unajua kazi ukaendelea na usanii.
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Hilo halikuhusu ni hiari yao wazalendo halisi...Kazi wanafanya sema wanaingia kwa shift wanapokeazana kulinda mafisadi wasiibe kura, hakiingii kitu na hakitoki kitu, ila Masha na Burianii vibarua vimeota mbawa sijui unaweza kuwatafutia kazi mapema kabla hawajaanza kung'aa macho.
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Kazi kwa mshahara upi?? machinga complex yenyewe mmegawana vigogo... Naona unakuwa Maria Antoinette kwa kashfa na dharau kwa watu wanaolinda haki zao
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

Mkuu wacha walinde kura wizi wa CCM unajulikana huwezi kuniambia leo yale matokeo ya kupikwa ya Zanzibar tunayahitaji Tanzania bara?
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.

fisadi wewe umeanza lini kujali maisha ya watanzania?
kwa miaka mingi mmekuwa mnaiibia nchi bila kujali kama wananchi wana kazi au la
 
http://jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
its very bad here in zanzibar
ain't that bad whn fully packed with such an arsenal ;)
...
 
http://jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
its very bad here in zanzibar

whats bad?
 
Wako katika secta isiyo rasmi so wako flexible na mda.
Vip umeajiliwa na mhindi nini manek umeshangaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Jamani kwa kawaida wasichana wengi hawako tayari kupigania haki zao wano wogo sana

msameheni bure huyo mrembo

inasemekena kwa kuwa warembo(au wase*nge) wana testorone kidogo ikilinganishwa na midume, huwafanya wasiwe majasiri
 
Kasheshe.

Hicho si kitu cha kushangaa hata kidogo kwa sababu hata hapa First World USA watu wanakesha hata siku 7 kusuburi matokeo ya kura.
Kuchakachua kura kupo kila mahali. Wenzetu hawa walio dunia ya kwanza nao ni wachakachuaji wa kura tunachotofautiana ni Technolojia ya kuchakachua.
Wenzetu zaidi ya upigaji kura huu wa kawaida pia wana Electronics Voting Machines, wakati wa kuprogram software kuna mamluki kadhaa wamejaribu kuprogram ili jambo fulani lisilo kusudiwa litokee kwa manufaa ya kundi fulani.

kulinda karatasi ya kura yako ni muhimu aidha kulinda uchakatuaji wa matokeo baada ya kupiga kura ni muhimu pia.

Mpaka niongeapo bado haijagundulika Technolojia kali ya ulinzi zaidi ya ile ya kuweka kiwngu cha watu wakiwa na nyusu kakamavu na macho makali kama miali kuhakikisha jambo baya halitokei dhidi Lindo lao.

Teknolojia popular,ya kulinda usalama mahali pengi ikiwa ni pamoja na uchakachuaji ,hapa first World ni kulinda kwa kutumia Video Camera jambo tutakalo lifanya 2015. Hata hivyo ulinzi huo unahitaji watu kadhaa kuwapo Control Room 24/7 wakiwa macho bila kumbonji other wise Technolojia inabakia kuwa ni upuuzi fulani.Hii Technolojia ya kulinda kura kwa Video lazima ije baada ya kufanya mabadiriko makubwa ya Katiba yenye baadhi ya sheria za kidikteta, kiimla na kisultani.

Hata hivyo ni ukweli usiopingika kwamba watu hawana kazi na hili si jambo la mchezo mchezo kwa mtu yeyote au chama.
Idadi ya watu wasio kuwa na kazi ikiongezeka ni hatari kwa stability ya kisiasa. Tena ni hatari zaidi iwapo vijana wasio na kazi ni kundi la wasomi. CCM ndiyo waliotufikisha hapa kwa makusudi kabisa na wana nia ya kutupeleka kubaya zaidi. sijui nia madhumuni na makusudio yao ni nini?

Sehemu nyingi sana nchini Tanzania,Imani kwa vyombo vya kiserikali imezidi kupungua na si muda mrefu sana ujao itatoweka kabisa kama utawala wa CCM utadumishwa kwa mabavu.

Katika siku za hivi karibuni sisi wananchi tumeanza kutilia mashaka mwenendo wa viongozi wa juu wa JWTZ kutoka na matamshi yao tata. Viongozi wa juu wa JWTZ kutoa matamshi yenye ushabiki wa kisiasa ni sawa kabisa na kufanya mapinduzi haramu kupitia mgongo wa CCM.

JWTZ ndiyo wenye Bunduki Risasi Vifaru Mizinga Mabomu ya kila namna na ujuzi na uwezo wa kutekeleza jambo kwa nguvu na lazima. Uwezo huo tumewapa ili walinde maadui kutoka nje ya nchi hii wasije wakachukua sehemu ya ardhi au nchi yote kwa ujumla. Matamshi ya hivi karibuni ya Afande Shimbo ni dalili moja kubwa kwamba jeshi limesahau wajibu wake wa kuelekeza mtutu kwa madui wa nchi na kuanza kuuelekeza kwetu sisi wananchi kwa manufaa ya Mafisadi wa CCM mabao hawaachi kuwamegea ngawira haramu za ufisadi.

JWTZ hawatakiwi kujiingiza katika mambo ya upigaji kura kufanya hivyo ni kinyume cha katiba ya Jamhuri ya Tanzania.

Maadui wa Jamhuri ndani yanchi wanashughulikiwa na POLISI.

Upinzani wa kisiasa si Vita wala si kosa la Jinai Kwa hiyo hata POLISI hawatakiwai kuviona vyama vingine visivyo kuwa madarakani kama ni makundi ya wahalifu.
Polisi wakiegemea upande mmoja au kwa kutii amri haramu za wakuu wao au kwa kujipendekeza kwa wanasiasa au kwa kutaka kunufaika kwa namna yeyote. Wananchi wa Tanzania wana haki ya kikatiba ya kujitolea muhanga kulinda haki zao zisifinyangwe na Mamrki wa kisiasa.

Haki yako ikiisha kuchezewa kwa muda mrefu inakuplelekea kung'amua kwamba mlinzi namba moja na muhimu ni wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom