Nimeshindwa, Nahama Chadema

Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Kishongo,

Good bye and good luck! You were useless when we had you in our midst and now I believe you are joining a group which is more suitable for you!
 
Kishongo itabidi tuwaombe mods wakupe ban kwa kueneza uongo wako hapa. Tangu lini wewe ulikuwa CHADEMA? Maana hata post zako tangu mwanzo zilionyesha wewe ni CCM. Mfano ni post za tehehe 10 Novemba hizi hapa chini. Hivi watu mnaposti halafu mnajisahau eeeh! au ndo kawaida ya watu wa misikitini, maana kuna wakati mnaitumia Biblia katika kuhalalisha dini yenu na hapohapo mnasahau na kuanza kuikana. Lol!

Nilijua tu kuwa huyu jamaa alikuwa anatusanifu kwani ni MCCM wa nguvu. Asante sana ndugu yangu kwani njia ya mwongo ni fupi.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Mbona umechelewa kuondoka??? Chadema haiwezi kukaa na mafisadi kama wewe. Rudi kwenye chama kinachokumbatia ufisadi.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

usiondoke, tutakupa v8 na nyumba ya kufa mtu. Umechanganyikiwa, uko kama yule mama wa bongo fleva mwenye kipara, nenda kalale ....
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Upuuzi na upumbavu huu; unatujazia database yetu kwa kuandika thread za kijinga kama hizi. Kama umeshindwa CHADEMA na kuondoka ni haki yako, huna haja ya kututangazia kwa vile hukutatangazia wakati unajiunga na CHADEMA hiyo. Kwani weweulikuwa na umuhimu gani kwa CHADEMA kiasi kuwa unadhani kuondoka kwako ni jambo la muhimu kututangazia?
 
Karibu tupige dili bwana,makelele ya nini wakati ujanja kupata?
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

mawazo ya mwaka 47 --zitadumu sana tu fikra za kuchakachua..mbona imewauma sanaaa...hahaa yaani JK kavuliwa msuli mbele ya wageni ..na mtakufa mwaka huu kwa mawazo..CHADEMA well done and meseji sent very clearly
 
Upuuzi na upumbavu huu; unatujazia database yetu kwa kuandika thread za kijinga kama hizi. Kama umeshindwa CHADEMA na kuondoka ni haki yako, huna haja ya kututangazia kwa vile hukutatangazia wakati unajiunga na CHADEMA hiyo. Kwani weweulikuwa na umuhimu gani kwa CHADEMA kiasi kuwa unadhani kuondoka kwako ni jambo la muhimu kututangazia?

Una hatimiliki ya JF?
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Na bado ni wengi mtarudisha kadi.

CHADEMA ni chama cha ubinafsi, udugu,udini na ukanda.
 
Hapo nili po mark red ya kwanza: 1.Kwa kuiba kura.
.................................................2. Lete data kuthibitisha kwamba hakuna wakwere ndani ya CHADEMA.
.................................................3. Tunajua umetumwa na unalipwa kwa hilo, wengi wa wanachama wa CHADEMA ni watu wanaojua wanachokifanya na sio kuganga njaa kama ulivyo wewe.
.................................................4. Madhalimu huwa hawadumu hata kama wangeombewa dua ya namna gani hivyo unaota mchana wewe.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

huyu jamaa katumwa,na sasahivi hakuna mtu anayeweza kudanganyika.alaf wakati anachuka kadi hakuambia sasa mbona anakuja kuaga,kwanza huu mtandao ni wawajanja watu kama hawa sijui wanajichomeka humu kivipi,fukuza kabisa huyoo
 
Na bado ni wengi mtarudisha kadi.

CHADEMA ni chama cha ubinafsi, udugu,udini na ukanda.

pole sana,maana hata yesu kuna watu hawakumwani,walikuja kuujua ukweli baadae sana akiwa ameondoka zake.nyie mmeshindwa mmkaamua kuiba kura,haitoshi sasa mmeamua kupandikiza sumu, weka ushahidi wa pumba zako hapa uumbuliwe, kama sio nyie wenye udini na hiliunalijua wala huna haja ya kutajiwa orodha.tutawakomesha na kuwaaibisha zaidi ya mlicho kiona uzi dodoma naona imewauma sana hii isue, na bado tutawanywesha dawa kwa lazima maana mnaumwa halaf hamtaki kunywa dawa,mnataka kutuambukiza.
 
Wanasema Udini ndio tatizo lakini mimi nadhani tatizo halizi ni Ukabila, wakristo wengi bado tuko CCM.JK katumia neno dini kwa ajili ya kututisha wa Tanzania .Kwa hali hiyo amesha panda mbegu ya Udini kiasi sasa wengi ya watanzania wako aware na mambo ya udini, ambapo kosa dogo atakalo fanya JK kwenye serilkali pale atakapo onyessa dalili ya upande fulani kuteaua viongozi, hapo teari itawagusa wa tanzania, Waislamu watadai JK anapendelea wa kristo kama kila siku wanavyo sema na pia Wakristo watadai JK anapendelea waislamu,hili tatizo kalianzisha yeye na namlaumu kwa kusema vile kwani hakupaswa kuleta mammbo ya udini.

Ukweli uliopo CCM teari ina kimbilia udini kwa sasa, tena baada ya Waislamu wengi kutishwa ndio mana unaona wengi wa CUF walirudi CCM na waislamu wengi wali piga kura kwa JK sababu ya uislamu baada ya zile sms za uchochezi za kuoneysha ukristo uko CHADEma, ile ilikua ni njia ya kisiasa kuweza kukamata kura nyingi za waislamu ila tatizo ni kwamba pia imesha panda mbegu ya udini na kutugawa waTZ.

Kwa maoni yangu sidhani kama Udini umempa ushindi JK, maana wakristo bado naamini ni wengi Tanzania na wengi tumepiga kura kwa JK , unless kuna siri wanao ijua CCM kwamba Dk Slaa alishinda na akachakachuliwa na kuoneysha mikoa yenye wakristo wengi imepiga kura kwa Slaa.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Mpambanaji hatetereki akitetereka jua huyo ni Feki
 
Nenda Nenda Nenda tunakujua wewe mamuluki.
 
kwanza tutambulishe jinsia yako harafu tukuhoji vyema maana ccm wana idara zote
 
Haya mataahira mengine yanaharibu sana j-2 za watu . Toka na usiandike tena hapa jamvini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom