Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,050
- 656
Hakika njaa inakusumbua tu wewe unafikiri hizo Chips za siku moja ulizopewa na kusahau shida zote zitakupeleka wapi? Wewe ni njaa tu inakusumbua na wala hukuwa mwanachama wa chama cha watu wenye akili zao! Jinsi ulivyoondoka CCM na kuamia Chadema ndio hivyo ungeondoka bila hata ya kutoa taarifa.
Plz plz kama kuna vitu vya chama kama fikra hai, sera za chama na mambo mengine tunaomba uviache Chadema uende kama ulivyokuja mtupu. Usije kuwa kama Masha aliyeamua kuondoka na Vitasa......
Kweli njaa mbaya.!