Nimeshindwa, Nahama Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeshindwa, Nahama Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishongo, Nov 20, 2010.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

  Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

  Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

  Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

  Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

  Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

  Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  umetumwa wewe huna hoja
   
 3. M

  Msindima JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ulipokuwa unachukua kadi ya kuwa mwanachama ulitujulisha? kama ambavyo leo unatvyotujulisha?
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  toka lini ulikuwa chadema? usirudishe kadi wiki ijayo rudisha sasa......wanafiki wengine bana!
   
 5. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  kuku maji wewe huna sera
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  hizi mbimu za kujifanya wewe ni mwanachama ni ya kizamani.
  Jana kuna vibaraka wamejifanya wao ni wasomi wa dodoma, wakaongea pumba kama zako na watu wamewastukia tayari.
  Hata wewe tumeshakustukia.
   
 7. W

  We can JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wengi watakuamini ikiwa utaonyesha kadi yako hapa!
   
 8. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wengine bwana! Kwani mpaka uandike kila wakati? Kwan ulipojiunga ulimtangazia nani? Na leo unatangaza ili iweje?
   
 9. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Una uhuru kufanya hivyo. Hama chama kinachotetea haki na demokrasia ya kweli na jiunge na chama kinachokumbatia uchachachuaji wa kura na ufisadi.
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,638
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Karibu CCM mwana mpotevu
   
 11. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Huutufai na hujui nini maana ya democracy ya kweli na hujui upo wapi na unatakiwa uwe wapi na nafikiri hata hujui Tanzania ipo vipi na enaendeshwa vipi.Nakushauri ukisharudisha kadi yako kaa kwanza utafakari kabla ya kujiunga na CCM
   
 12. MKURABITA

  MKURABITA JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huu ndo upumbavu wa watanzania wengi kama wewe. CCm wakifanya wizi hamuoni kama wanahatarisha amani, ila wakifanya wengine ndo mnaona waana hatarisha amani. Kama huwezi kaa pembeni uuche wanaume waikomboe nchi kutoka mikononi mwa mafisadi.
   
 13. T

  Tanzanian Member

  #13
  Nov 20, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hujakomaa kisiasa, ingekuwa kama Nelson Mandela Kule S.A ungevumilia miaka 27 jela? hebu kua basi/ UNAYUMBA NA MAMBO KAMA HAYA , YAKO MAKUBWA ZAIDI YANAKUJA SIJUI UTASEMAJE// ILA NENDA KWA WANA CCM WENZAKO, HUKU HUTUFAI HATA KIDOGO.
  INGEKUWA UMEFUKUZWA BUNGENI KAMA ZITO KIPINDI KILE SI NDIYO UNGETOA MACHOZI KABISA,
  ACHA KUJIAIBISHA , WE MWANAUME BWANA.. SHAME
   
 14. s

  seniorita JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wewe feki sana, unafikiri utamdanganya nani? Sio wanachadema maana ni great thinkers; we see beyond the words; hizo ni mbinu za aliyeshindwa na asiyefikiri. Nenda hospitali ukatibiwe maana naona umeugua
   
 15. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwanza wewe si mwanachama halisi wa CHADEMA. Na hizo mbinu zako chafu hazitafua dafu maana huondoki na mtu hapa umenoa, danganya wajinga wenzako huko. Kama umetumwa na Makamba mwambie jamaa wako macho.BY BY SISIEM tukutane 2015.
   
 16. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  hehe heheeeeeee asante mungu!!!! mamluki wa kwanza huyo kaondoka tulikuambia huku hupati siri yeyote ila ukawa mpuuuzi. Nenda , wewe ni mmoja, mimi tokea uchaguzi uisha nimeshawashawishi watu 9 kujinunga na chadema Kwenda zako.
  Tutajie kadi namba!! CCM mkubwa we!!
   
 17. f

  freshmind Member

  #17
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzo ulivojiunga hukujua ni cha ukabila?
  ondoa nonsense apa!
   
 18. f

  freshmind Member

  #18
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Perfect definition ya MNAFIKI tumeipata apa leo!
   
 19. M

  Mtembezi Member

  #19
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lini uliwahi kuwa mwanachama wa chadema?
   
 20. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ili uwe mkweli zaidi ...lete ushahidi wa kadi ya chadema uliyonayo na umekata tawi gani
   
Loading...