Nimeshindwa, Nahama Chadema

Nimeshindwa, Nahama Chadema

hili alilosema huyu mama tumelisikia kwa watu "wadogo" wengi tu waliokuwamo ndani ya chama ilhali likipingwa vikli na uongozi....mpaka "rasta " CHACHA WANGWE (SIO MAREHEMU WANGWE...CAUSE rasta never die) alipoliweka hadharani juu ya hali iliyopo ndani ya chama .....and the cry is....IPO SIKU TUTAMWELEWA.....AND THAT WILL BE THE END OF OUR BELOVED TWO FINGERS PARTY... chadema kuficha hili ipo siku litatuumbua na true colours zitaakuwa reviealed...LETS TAKE STEPS TO END THIS
 
Watu kama hawa unamuachia Mungu.

CHADEMA ni chama chenye Katiba na Kanuni zake. Kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari hajasema alifuata utaratibu gani kutoa malalamiko yake na ni hatua zipi zilishindwa kufuatiliwa. Mbona asiende mahakamani kudai 'haki' yake ya kuwa Mbunge wa Viti Maalumu? Je huko NCCR wote wenye 'sifa' za kuwa wabunge wa viti maalumu wamepewa nafasi??

Tatizo la demokrasia ni kwamba mtu yoyote anaweza kubahatika kuchaguliwa na kuwa kiongozi ili mradi amepata kura nyingi!

Wana JF, huyu mama alishindwa kwenye uchaguzi wa udiwani viti maalumu kwenye kata yake. akafanya alivyofanya akateuliwa agombee kwa kigezo cha kuwa mwenyekiti, akagombea akapata kura zisizozidi mbili!! akalazimisha jina lake lisogezwe mbele kutoka namba aliyoshika Katibu Mkuu akakataa. akabaki namba 35 hakufikiwa kutokana na mipango ya Mungu.

Je angefikiwa anegsema hayo anayoyasema? CHADEMA kama chama kitasimama imara na mwanachama yoyote ambaye atashindwa kufuata utaratibu atafukuzwa. Hatuwezi kuendelea kulelea viongozi na wanachama wabovu kisa chama kitagawanyika!! Kuliko tubaki na chama ambacho hakijagawanyika lakini kina viongozi kama Leticia ni heri kigawanyike! Hatari kitu gani bwana! CCM ndio chama kinachoweza kulea viongozi kama hao.

Anaongelea demokrasia, hajui mtu kuhama chama baada ya kushindwa kufuata utaratibu kwa ridhaa yake mwenyewe ni demokrasia?? Au elimu yake ya uuguzi inamsaidia nini? Demokrasia ni pamoja na kuacha milango wazi na kwenda unapoona panakufaa.

tatizo siasa zetu zina chembe chembe za mafundisho ya dini kwamba ukio usimuache mkeo mpaka kifo kiwatenganishe!!! kwa hiyo ukiwa mwanachadema usitoke mpaka uwe mbunge???Hakuna. Acha aende na afike salama huko wanakojitengenezea makao!!!
 
Nashangaa hivi ilikuwaje kwa uelewa anaouonyesha huyu mama kwenye taarifa zake alikuwaje Mwenyekiti wa Wanawake Taifa wa Chadema?

1. Kama alikuwa na vigezo vya kuwa mbunge, kwa nini asingeenda kugombea jimboni?

2. Alikuwa wapi kufanya maamuzi ya kukihama chama siku zote mpaka asubiri akose ubunge ndio ang'ake kwamba chama kimejaa upendeleo na hakina demokrasia?

3. Je kuzungumza kwa ufasaha lugha ya Kiingereza na Kijerumani ni sifa 'kubwa' ya kuwa mbunge mpaka anainadi hadharani?

4. Je haya malalamiko yake toka huko nyuma amewahi kuyafikisha kwenye vikao rasmi vya chama?

5. Je amefanya utafiti kuwa huko anakokwenda kuna hiyo 'demokrasia' anayoitaka?

Kweli wahenga walisema funga domo lako kuficha ujinga wako!!
Huyu mama anasahahu kuwa kuna VICHAA wapo uingereza wanazungumza kiingereza ile mbaya.........na vile vile kuna VICHAA wapo ujerumani wanazumgumza kijerumani ile mbaya..................... BY THE WAY LUGHA ILIKUWA NI SEHEMU YA VIGEZO VYA KUPATA UBUNGE.........???? KWA MTAZAMO HUU...IPO SIKU TUTAWAITA WAJERUMANI NA WAINGEREZA WAJE WAWE WABUNGE HUKU KWA VILE WANAZIJUWA LUGHA HIZO KIUFASAHA...........

Huyu mama namwona mawazo yake ni kama ya ki-MALARIA SUGU hiviiiiii.......!!!!
 
"

Vigezo vya kuteuliwa
"Wametaja vigezo vyao vyote, nimeangalia mimi ninavyo. Kama ni muda wa kutumikia chama nimejiunga na Chadema tangu mwaka 2004, tena nimeanza katika ngazi ya chini ya uongozi mpaka nikafikia hatua ya kuaminika na wanawake wenzangu na kunipa nafasi ya uenyekiti wa Taifa. Nimekuwa diwani kwa miaka mitano, nimekuwa mweka hazina wa madiwani wote wa Chadema."



Mbali na uongozi ndani ya chama, anasema amekuwa katibu wa mitandao ya asasi zilizo za kiserikali katika Wilaya ya Tarime, Mwenyekiti wa Wanawake wa Kanisa Katoliki Jimbo la Ukonga, Mratibu wa Asasi ya Mkamilishano Trust Fund iliyokuwa na makao makuu yake Ujerumani na Mwenyekiti wa Tukamilishane Women Association.

Elimu
Ni mhitimu wa kidato cha nne aliyepata pia mafunzo ya uuguzi nchini Ujerumani kwa muda wa miaka minne katika ngazi ya stashahada.
"Naweza kuzungumza vyema lugha tatu, Kiswahili, Kiingereza na Kijerumani, najiuliza kati ya wabunge wote wa viti maalumu kwa nini waniache wakati wapo wabunge waliochaguliwa ambao nawazidi elimu, michango katika chama, uwezo na hata muda wa kukitumikia?" anasema.

Mchango katika Chama
"Nimetoa michango mingi ndani ya chama. Mwaka 2006 nililipia pango la ofisi ya chama kwa pesa zangu mwaka mzima. Nilitoa pesa zangu nikanunua kiwanja kwa ajili ya kujenga ofisi ya chama huko Tarime. Kiwanja hicho kilikuwa katika Kata ya Nyanungu. Sasa hivi hiyo kata imegawanywa na kipo katika Kata ya Ikiryo."



Mheshimiwa Mkumbo ametudanganya alisema huyu mama anacheti cha form four ukisoma kwa makini maelezo ya huyu mama utasikitika sana jinsi chama cha Demokraia kinapokuwa Chama cha Domokraia. Mkumbo upooooooooooooooooo?
 
Wakati mwingine si elimu na ujuzi tu, bali nyota pia.

Ukiwa mwanamke ili upate cheo lazima usafishwe nyota sasa inaonekana mama umri mkubwa sana ndio maana akatoswa ila ukiangalia huyu mama alikuwa na sifa za kuteuliwa maana alikuwa diwani kwa miaka mitano kuna wengine "wamepewa" hivyo vinavyoitwa viti "maalumu" hata u-monitor shule hawajawahi kuwa! pole sana mama hiyo ndio Chadema karibu NCCR - Mageuzi.
 

Ukiwa mwanamke ili upate cheo lazima usafishwe nyota sasa inaonekana mama umri mkubwa sana ndio maana akatoswa ila ukiangalia huyu mama alikuwa na sifa za kuteuliwa maana alikuwa diwani kwa miaka mitano kuna wengine "wamepewa" hivyo vinavyoitwa viti "maalumu" hata u-monitor shule hawajawahi kuwa! pole sana mama hiyo ndio Chadema karibu NCCR - Mageuzi.

Unamsukumia NCCR humtaki CUF kwasababu ni Mkristo! Nyie watu ni maadui wa Demokrasia
 
Mheshimiwa Mkumbo ametudanganya alisema huyu mama anacheti cha form four ukisoma kwa makini maelezo ya huyu mama utasikitika sana jinsi chama cha Demokraia kinapokuwa Chama cha Domokraia. Mkumbo upooooooooooooooooo?

Ndio maana nasema Chadema ni chama cha wabaguzi na madikteta kwani ukiiangalia hii habari inaelekea huyu mama zilikuwa haziendi vizuri humo ndani.
 
of course, kuna kazi kidogo ya kucentralise mambo. laikini ndio transformation hizo...

lakini si bora angerudi sisiemu na sio huko ensisiara?
 
Hata kama mnazushiwa jamani hebu pigeni hatua nyuma kidogo na mjihoji kidogo.Mhhh
1.Chacha->analia na Mbowe
2.Mziray-> analia na Mbowe
3.Kafulila->analia na Mbowe
4.Ndada->Mbowe
5.Mama huyu->Mbowe
6.Zitto naye->vs Mbowe.

Mmmmm jamani hebu geuzeni shingo, japo kwa sekunde.
 
Hata kama mnazushiwa jamani hebu pigeni hatua nyuma kidogo na mjihoji kidogo.Mhhh
1.Chacha->analia na Mbowe
2.Mziray-> analia na Mbowe
3.Kafulila->analia na Mbowe
4.Ndada->Mbowe
5.Mama huyu->Mbowe
6.Zitto naye->vs Mbowe.

Mmmmm jamani hebu geuzeni shingo, japo kwa sekunde.

MkamaP ----> Mbowe

Rev Masanilo ---------> Mbowe

Ama kweli mti wenye matunda hutupiwa mawe
 
MkamaP ----> Mbowe

Rev Masanilo ---------> Mbowe

Ama kweli mti wenye matunda hutupiwa mawe

Teh teh teh umenifuhasha sana.
Kwa hiyo RA na jk una matunda ya kutosha kutupiwa mawe. Na hata hivyo sijui kama umeshagundua kitu fulani nacho ni Ni mti ulio afrika tu wenye matunda na unaotupiwa mawe.
 
For this democracy, leadership is not the reason for you to be part of the party. Go to hell!
 
Hata kama mnazushiwa jamani hebu pigeni hatua nyuma kidogo na mjihoji kidogo.Mhhh
1.Chacha->analia na Mbowe
2.Mziray-> analia na Mbowe
3.Kafulila->analia na Mbowe
4.Ndada->Mbowe
5.Mama huyu->Mbowe
6.Zitto naye->vs Mbowe.

Mmmmm jamani hebu geuzeni shingo, japo kwa sekunde.

Leading serious opposition parties in countries like Tanzania you must be tough because temptations are many.
 
Leading serious opposition parties in countries like Tanzania you must be tough because temptations are many.

Unaweza kuelezea kidogo tupate picha kamili, maana umetuacha kidogo
 
Teh teh teh umenifuhasha sana.
Kwa hiyo RA na jk una matunda ya kutosha kutupiwa mawe. Na hata hivyo sijui kama umeshagundua kitu fulani nacho ni Ni mti ulio afrika tu wenye matunda na unaotupiwa mawe.

dogo ni wewe au? kama vile nimekusitukia. habari ya poland?
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Maajenti wa mafisadi kama wewe mnaweza kuondoka bila hata kutoa taarifa na inawezekana uwepo wako kwenye chama hauna tija yoyote. Kwa hiyo, ondoka tu ndugu yangu wala hapana maneno kabisa.
 
Back
Top Bottom