Nimeshindwa kuvumilia!!

jamani sio step ma wote tuna tabia hizo jamani, wengine tunakaa na watoto wa wanaume zetu kama wetu vile sema baadhi wanatuharibia jina kwa matendo wanayoyafanya...pole sana mtoto kweli kuna v2 unajiuliza kama ni binadamu esp mwanamke anavifanya anaejua uchungu wa mtoto ulivyo unabaki na mashangao.....

Ubinadam hakuna nikikumbuka tukio lililotokea kanda ya ziwa mgodini mtoto kulazimishwa kufanya mapenzi na mbwa, watoto kuhusishwa na vitendo vya kishiririkina, na hili la
 
Back
Top Bottom