Sasa kama wewe uliyekuwa unaongea nae hujamuekewa, sisi ambao wala hatujamuina wala kumsikia tutamwelewa?
Kama huna matatizo kichwani, wewe ambaye hujaongea naye ndiyo unatakiwa umwelewe kwa kiwango cha juu zaidi. Hapa sasa na wewe unataka kuanza kuwapa watu wasiwasi kuzidi hata huyu mgeni anayeongelewa humu. Si za kuambiwa unachanganya na za kwako, au ?
 
Yani mtu aliyeko kwenye scene aliyemuona mzungu na kumsikia hajamuelewa..mimi nimuelewe?

Haya, wewe umeelewaje? Maana inaonekana ubongo wako unaweza kufanya Osmosis kutoka mbali..

Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.

Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.

Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
andika Kwa kiingereza basi ueleweke utalii kesi ya kidunia ujuavyo jamiiforum ni chombo cha kidunia
 
Kwa sababu ni Mzungu muingereza tumuamini tu alichosema kwa kutumia ubongo wake..

tumia ubongo wako kujiridhisha kama tukio husika lina faida au hasara...
 
Yani mtu aliyeko kwenye scene aliyemuona mzungu na kumsikia hajamuelewa..mimi nimuelewe?

Haya, wewe umeelewaje? Maana inaonekana ubongo wako unaweza kufanya Osmosis kutoka mbali..
Siyo Osmosis tu, hata diffusion pia. Nini maana ya inference? Ulisoma Biology siyo? Kwenye Practical mtihani wa darasa la 12 hukuwa unatumia inference kujibu maswali ya mtihani huo?
 
Darasa la kumi na mbili ndio kitu gani, usikute wewe ni mzuka wa Mwl. Nyerere..??

Any of the ways, hii sio biology na wala kilichoongelewa sio sehemu ya scripture kwamba tutoe tafakari..
Angemuuliza tu huyo mzungu kuwa alimaanisha nini.. haya ya kuleta biology ya darasa la 12 ni matumizi mabaya ya elimu.. tafuta sehemu sahihi ya kuitumia
Siyo Osmosis tu, hata diffusion pia. Nini maana ya inference? Ulisoma Biology siyo? Kwenye Practical mtihani wa darasa la 12 hukuwa unatumia inference kujibu maswali ya mtihani huo?
 
Wewe mwenyewe umejigeuza mzungu na ukachaguwa kuwa muingereza.
Kisha ukaamua kujihoji na kisha ukaanza kutuandikia utumbo wako humu.

Acheni kuwa na positive attitude kwa kila jambo.

Kwa mtindo huu ndio maana mtaendelea kumuona kila mzungu ni Padre.

Kumbe wengine wako humu kwa special mission.
 
Vipi mbona umetokwa na povu sana imekuuma eee,
Kwa uelewa wangu Huyo mwingereza alivyomaanisha ni kwamba Ile loyal tour Haina impact yoyote zaidi ya viroja tu
Sector ya utalii iboreshwe kwanza Ina makoro Koro ya ovyo sana inapasa iwe friendly kutoka utoaji vibali mpaka fees ukiachana na miundombinu Bora nje ya hapo ni porojo tu!
Nuna na hiii Ebooooo!
 
Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.

Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.

Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
Utalii hukuzwa kwa kujitangaza, sio kwa utalii wa viongozi. Kila kizuri cha Tanzania Wakenya wameshatangaza kiko kwao. Channel ya safari inaonekana ukisha fika bongo sio kabla. Ukifungua CNN utaona wenzetu wana post za kuita watu kwao. Rwanda inajulikana duniani kuliko bongo kwa matangazo sio Kagame kwenda kuangalia sokwe.
 
Huelewiki
Mara utalii hauji kwa kujitangaza
Mara ukifungua CCN utaona matangazo ya wenzetu

Royal tour ni kasehemu tu ka kampeni ya kuimarisha utalii
 
Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.

Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.

Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
Jf, the only place where anyone can be anybody and anywhere.
 
Huyo sio mzungu, atakuwa mmakonde. Maana anajua sentensi moja tu ya kizungu, tena kizungu cha watoto wa chekechea:"it was wastage of time"
 
Back
Top Bottom