Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

Mi nimekutana nazo kibao ila lazima niloweke mzigo. Kisha nafuta namba kabisa.

Nikimpenda namchana au kitaalam kuna mwanangu ni Daktari namwelezea ananiambia dawa gani atumie afu mm namnunulia naenda mpatia na kumwambia anatoa harufu isiyo ya kawaida ukeni itakuwa amepata Maambukizi ya bakteria hivyo atumie hizo dawa ili kulinda kizazi chake.

Nawaambia hivyo ili wasihisi wanatoa harufu kutokana na uchafu bali bacteria ambao wanapatikana chooni nk.
Yote hayo kwangu ya nn? Nikiona hivyo naachana nayo tu
 
Mwambie kwa namna nzuri,then uuungane nae mtafute tiba kwa madaktari wa magonjwa ya wanawake.Atashukuru sana.
 
Ila natoa tu pichu nilikutana na harufu iliyofanya nishindwe kabisa kuendelea kusimama, mashine ikalala ila sikutaka kumuonyesha kuwa kuna kitu hakipo sawa (angejisikia vibaya), bali nilimwambia sina mood akasema anaweza kurudisha mood yangu.

Wallahi mi ningepiga kimoko,

Cha pili ningekimbia kwanza dukani kununua udi wa mia wa manukato (udi wa dua),

Cha tatu ningekuwa nshalamba konyagi ndogo so kule ku-stink nisiwe nakusikia.

"Muuza utumbo haogopi nzi"
 
kwa risechi ndogo niliyofanya wadada wengi wananuka midomo, wengine ni pisi wala hutegemei

njoo 'zero distance' naye alaf aongee ndiyo utaisoma freshi
Huyo alikuwa mzembe, wanawake wakijua wanaliwa wanapiga ma usafi kama yote, ma mswaki manini.. Ila sijawai kutana na manzi inanuka bado au kwakua sigegedi labda 😃😃😃
 
Ndo maana mnaambiwa kabla hamjafanya mambo hakikisha mmeoga ukute katoka kuswampa huko na huko tangu kaoga asubuhi alafu utegemee natural smell [emoji28][emoji28][emoji28]ni kwa wachache sana tena wenye usafi wa hali ya juuu ndo tunaweza jitahidi
Vijana hao, wanarukiana tu bila maandalizi.

Vijanahawaelewi kwamba mwanamke hata akikaa bila kuzunguka kwa siku nzima anahitaji kunawa kuweka Hali vizuri kutokana na harufu inayotokana na vita vinavyopiganwa na Bacteria wale wanaolinda mwili na cookie yake.

Hebu muwe mnasubiri wanawake wajiandae kwanza kabla ya kuwarukia.

Wengine Wala wanakuwa hawaumwi chochote ni Hali ya kawaida katika mwili wa mwanamke.
 
Kweli kabisa muwe mnatuandaa vizuri jamani 😅😅😅😅😅😅msiturukie tu
 
🤠🤠🤠 Nahisi umri ukienda kuna mambo unakuwa mvivu, ukweli nikianza fikiria mchakato mzima na ile kwa kitanda mwili unachoka kabisa, natafuta kitu ingine ya kuniweka na furaha.. Kugegeda nimeisha iondoka aisee labda mbeleni
Doooh sasa watt inakuaje bruh nilikumbia lkn tabia ya kukomboleza kwenye 🍲 sio vizuri 😄
 
Back
Top Bottom