The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
ha haaa, unajua mwanzo nilidhani yupo Innocent.....
juzi kati hapa tulikuwa na conference ambayo wote tulienda + bosi. sasa nilikuwaje busy kumlinda! ingawa sikuona dalili yoyote ya bosi kumsalandia, lakini nilijikuta tu namweka karibu ili bosi asipate chance ya kumshawishi mdada wa watu. sasa nilipoona hii ya hiari nikachoka kabisaaaaa
Unamlinda vipi mtu yuko 35
kiukweli watu dizaini yako unaweza jikuta unachukiwa na watu oficin bila kujijua
wanaitwa 'kauzibe'...