My dear huna unachoweza kubadili juu ya mtazamo wa huyo dada jambo la msingi shika lako. wengine ni wazinzi na wanaishi kwa hayo sasa akija mwambie yeye ni mtu mzima aamue anachoona kinafaa na unabadili story. Kila akianzisha story hizi chomoa jadili vitu tofauti ataelewa na ataacha. Huyo anakutafuta ubaya tu, anataka kukuchota ili useme chochote kuhusu boss halafu amgeukie na kumwambia bila wewe angemkubali ispokua wewe umemkataza. Ili ukwepe lawama mwambie usingependa kuzungumzia mambo ya boss kwa sababu wewe ni boss wako na unamheshimu.my twin, kweli huyo mdada simfahamu saaanaaaa....
ni siku za karibuni tu ndo kanizoea kwa karibu sana na kuanza kutoa malalamiko yake.
Yes, kikazi nipo jirani sana na bosi kuliko yeye, na kazi ambazo anaona ni lazima niwepo huwa ananiambia kabisa kuwa lazima, otherwise ananipa option, kama nina muda naungana naye.
Yaani mpaka kuleta hapa ujue nilishampa mbinu zoooteee za kuepukana na bosi bila bosi kujisikia vibaya, sasa hili la jana kuniambia kajitolea ndo likaniacha hoi
Ni mara nyingi amekuwa akija kwangu kulalamika jinsi ambavyo baba mmoja anamsumbua sana kumtaka kimapenzi. Bidada hajaolewa lakini ana mchumba. Ila ni mdada mkubwa tu (over 35 years).
Ushauri ambao mara kwa mara nimekuwa nampa ni kujitahidi kuwa mbali na huyo baba. Akutane naye tu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo (wanafanya wote kazi) zaidi ya hapo awe mbali naye.
Jana yule dada kanipigia simu kuniuliza kama nitahudhuria workshop ambayo huyo baba kaiandaa (baba ni boss mkuu hapa tulipo, na mimi nafanya kazi nyingi sana na huyo boss). hiyo workshop ni ya nje ya ofisi, kazi yake binafsi, ila alituomba kama tunataka kushiriki kwa njia yoyote ile na ikiwezekana tumsaidie katika maandalizi.
Nikamwambia yule dada kuwa sitahidhuria, akanishangaa kwa nini, nikamwambia kwanza nina kazi nyingi sana lakini pia haikuwa lazima, na kwa nilivyobanwa nisingeweza kujitolea. huyo dada kwanza hafanyi kazi chini ya huyo baba, ingawa tupo idara moja, yeye ana bosi wake. lakini alipoona ile email aliamua kujitolea kumsaidia. kwa vile hafanyi kazi tunazozifanya, kwa hiyo kajitolea kumsaidia logistics wakati wa workshop.......
Hebu naomba mniambie huyu mdada anataka nini? nina uhakika wakitoka huko workshop (maana wanalala huko huko hotel) atakuja kunilalamikia jinsi alivyosumbuliwa.
Hapa nahitaji majibu yale makali kabisa ya kumjibu ili either (i) asije tena kunilalamikia upuuzi anaouendekeza mwenyewe, or (ii) aone clearly kuwa yeye ndo mchochezi mkuu wa hayo mambo kwa hiyo asiendelee kumlaumu baba wa watu.
Ni wazi anajua anataka nini ndio maana ana kitafuta, sema we ndio unadhani ajui ana hitaji nini.
Anataka ujue anapendwa na boss.
Na tayari amesha mkubali huyo boss.
Mimi ni kama vile naona "manyoya" hapo!
huyu leo kachanganyikiwa,kuna post nyingine anataka serikali ya tz ihalalishe bangi...ingia hapo
Bangi na Uruguay - Rais wao nae anatumia nini majani?
Ni mara nyingi amekuwa akija kwangu kulalamika jinsi ambavyo baba mmoja anamsumbua sana kumtaka kimapenzi. Bidada hajaolewa lakini ana mchumba. Ila ni mdada mkubwa tu (over 35 years).
Ushauri ambao mara kwa mara nimekuwa nampa ni kujitahidi kuwa mbali na huyo baba. Akutane naye tu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo (wanafanya wote kazi) zaidi ya hapo awe mbali naye.
Jana yule dada kanipigia simu kuniuliza kama nitahudhuria workshop ambayo huyo baba kaiandaa (baba ni boss mkuu hapa tulipo, na mimi nafanya kazi nyingi sana na huyo boss). hiyo workshop ni ya nje ya ofisi, kazi yake binafsi, ila alituomba kama tunataka kushiriki kwa njia yoyote ile na ikiwezekana tumsaidie katika maandalizi.
Nikamwambia yule dada kuwa sitahidhuria, akanishangaa kwa nini, nikamwambia kwanza nina kazi nyingi sana lakini pia haikuwa lazima, na kwa nilivyobanwa nisingeweza kujitolea. huyo dada kwanza hafanyi kazi chini ya huyo baba, ingawa tupo idara moja, yeye ana bosi wake. lakini alipoona ile email aliamua kujitolea kumsaidia. kwa vile hafanyi kazi tunazozifanya, kwa hiyo kajitolea kumsaidia logistics wakati wa workshop.......
Hebu naomba mniambie huyu mdada anataka nini? nina uhakika wakitoka huko workshop (maana wanalala huko huko hotel) atakuja kunilalamikia jinsi alivyosumbuliwa.
Hapa nahitaji majibu yale makali kabisa ya kumjibu ili either (i) asije tena kunilalamikia upuuzi anaouendekeza mwenyewe, or (ii) aone clearly kuwa yeye ndo mchochezi mkuu wa hayo mambo kwa hiyo asiendelee kumlaumu baba wa watu.
anataka kuishika shika PISTO ya bosi huyo..
Kuna haja ya kukuambia anachotaka kweli huyo?
Mbona kinaeleweka?
ha haaa, inaonekana unayajua sana haya mambo, lol!Na huenda ameshamegwa tayari na atakuja tu kukuambia "Jana boss alini bana sana na sikua na jinsi ilibidi tu nimmpe!!!!!!!
sijui kama anahisi hivyo, but anajua kuwa hakuna chochote, sasa nitakuwa namwangalia tuNahisi huyo dada anahisi kuna kitu kati yako na huyo bosi ukizingatia ww ndo upo chini yake so anakuambia kuhusu huyo baba aone reaction yako ndo mana akashangaa kwanini huendi kwenye hyo workshop na usikute hata hasumbuliwi kama anavyoelezea
nilikuwa nakusalimu mdogo wanguHAHAHAHAHAH dada nipo! nimeitika maana umeniita!
ha haaa, wamerudi jana.... leo sijamwona, labda nitamwona J3. sijui atanisimulia!mimi nina uhakika akitoka huko hutosikia malalmiko maana watakuwa washadinyana. nilikuwa na rafiki yangu enzi za chuo. nae kila siku alikuwa analalamika kuna mtu anamtaka wakati huyo kaka anafahamu fika kuwa huyo rafiki yangu ana mpenzi pale pale chuo. sijui ikawaje shosti akamkubalia na ndio ilikuwa mwisho wa kuskia malalamiko.