Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu dada

Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu dada

Naongezea amwambie akome kumueleza upuuzi wake
natamani sana kufanya hivyo.... ila asije akaona namwonea wivu, lol!
come to think about it, usikute hata bosi hana habari naye, lol!
 
Mwambie afanye vile moyo wake unamsukuma kufanya
nadhani ndo jibu analolitaka toka kwangu....
mimi nang'ang'ana "kumsaidia" kukwepa vishawishi, yeye anavikimbilia. si ni kunionyesha kuwa anavitaka?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naongezea amwambie akome kumueleza upuuzi wake

mdogo wangu mzima wewe lkn??

umeona aina ya huyu mdada?? yaani hajielewi hata ana ladha gani ndimu ama pilipili...........
si sukari wala chumvi yupo yupo tuuu kama hamtak si asepe mazima??
 
Fixed Point: Huyo bidada kaja kwako "KUJINAFIKISHA" ili apime "upepo" je nawewe umo? Ushauri, kwako ni huu siku nyingine akija mtoe "berenge"....
 
Na wewe unawaumbua wenzako vibaya ficha ficha angalau kidogo hata kama ni kweli!!

Sasa hapo ni kipi cha kuwaumbua? habari hizi walete wao wenyewe, mimi niulize tu ndio imekuwa nawaumbuwa? unanchekesha!
 
mdogo wangu mzima wewe lkn??

umeona aina ya huyu mdada?? yaani hajielewi hata ana ladha gani ndimu ama pilipili...........
si sukari wala chumvi yupo yupo tuuu kama hamtak si asepe mazima??
anajiweka kwenye kundi la wasiotaka yet anajipeleka mwenyewe..... unajua nimeshindwa kabisa kumwelewa ujue!
 
Kaa unasubiri eti atakuja kukulalamikia tena, huko anaenda kugongwa na hatarudi kukuambia chochote, isipokuwa subiri tu kuanza kuonewa wivu akidhani labda bosi anatoka na wewe pia!

BTW, huyo bosi alituma email kwenu nyote akijua wewe hutaenda, na kama ungekubali kwenda ungekuwa umeharibu mchezo, workshop gani ambayo haiwezi kuwa mchana? Na unaandaa vipi workshop bila kuwa na watu wa kutosha kusaidia? Je wote wasipokubali workshop inakufa?

Hayo ni maandalizi tu ya game. Sahau kuletewa malalamiko!
 
ha haaa, umeua rafiki...... yaani I will copy your answers word to word, let her come.
salama lakini rafiki?

mwambie ukweli tena akukome kabisaaaa.........
mwali mie nipo si unajua likizo ndo ivo??
bora hata umeleta hii mada japo niifurahie hili jamvi manake kila kona stress tupu
 
Fixed Point: Huyo bidada kaja kwako "KUJINAFIKISHA" ili apime "upepo" je nawewe umo? Ushauri, kwako ni huu siku nyingine akija mtoe "berenge"....
he he heee, si unajua mimi ni mama ushauri..... na nilivyokuwa namshauri kwa kumwona ni victim, lol!
kumbe zilikuwa kamba, ha haaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kaa unasubiri eti atakuja kukulalamikia tena, huko anaenda kugongwa na hatarudi kukuambia chochote, isipokuwa subiri tu kuanza kuonewa wivu akidhani labda bosi anatoka na wewe pia!

BTW, huyo bosi alituma email kwenu nyote akijua wewe hutaenda, na kama ungekubali kwenda ungekuwa umeharibu mchezo, workshop gani ambayo haiwezi kuwa mchana? Na unaandaa vipi workshop bila kuwa na watu wa kutosha kusaidia? Je wote wasipokubali workshop inakufa?

Hayo ni maandalizi tu ya game. Sahau kuletewa malalamiko!
ha haaa, workshop inahusu pia watu wa kutoka nje ya nchi, kuandaa malazi ilikuwa lazima....
hawezi kunionea wivu sababu anaujua msimamo wangu na huyo bosi.... useme tu nijiandae kama wakikubaliana na bosi na akimwambia misimamo yangu juu yake basi nianze kununiwa na bosi kwa kupeperusha mawido yake, lol!
kuhusu maandalizi naona watu wengi wanafanya hivyo, kwani wanapokuwa na wasaidizi huwa wanawatoa wapi? si kwa kutangaza!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mwambie ukweli tena akukome kabisaaaa.........
mwali mie nipo si unajua likizo ndo ivo??
bora hata umeleta hii mada japo niifurahie hili jamvi manake kila kona stress tupu
ha haa, relax my dear, maisha yenyewe ndo haya tunayoyaishi......
natamani hiyo likizo balaa....siku nikiikamata sitaonekana jukwaani maana itakuwa ni kulala tu....
 
kwan hujui aina ya watu kama hawa??
ni miongoni mwa wale watu ambao huinama na kunyanyuka muda mmoja
ha haaa, unanichekesha sana rafiki, eti huinama na kuinuka wakati mmoja.....
nilikuwa namwonea huruma sana lakini sasa naona huruma inaisha......
 
ha haa, relax my dear, maisha yenyewe ndo haya tunayoyaishi......
natamani hiyo likizo balaa....siku nikiikamata sitaonekana jukwaani maana itakuwa ni kulala tu....

i once said so lkn mwenyewe nimechemsha manake huku kiddos wanasumbua wakuvuta heren wakupanda mgongoni wakushika kile yaani hadi unataman kuhama humu ndani na imagine siku ya 5 leo sijaenda kokote nimeborekaje??
 
ha haaa, workshop inahusu pia watu wa kutoka nje ya nchi, kuandaa malazi ilikuwa lazima....
hawezi kunionea wivu sababu anaujua msimamo wangu na huyo bosi.... useme tu nijiandae kama wakikubaliana na bosi na akimwambia misimamo yangu juu yake basi nianze kununiwa na bosi kwa kupeperusha mawido yake, lol!
kuhusu maandalizi naona watu wengi wanafanya hivyo, kwani wanapokuwa na wasaidizi huwa wanawatoa wapi? si kwa kutangaza!

Okay, nimekuelewa, maana wanaume pia tunakuwaga na style za kutega, ukute lengo ni flani lakini tunaalika kama wawili au wa tatu na muhusika akiwemo, hapa muhusika anaweza kuona ni mambo ya kawaida tu, kumbe inatafutwa nafasi.

Lakini all in all, uje utupe updates za kilichojiri huko maana mi najua hutapewa details za kutosha kwa sababu tayari mlengwa atakuwa ameshaliwa na hawezi kukwambia chochote kilichotokea, utaishia kujibiwa ilikuwa nzuri bila details kupewa.
 
Huyo anahofia ukaribu wako na yeye na the fact kwamba jamaa ni Ur immediate boss,lakini wameshaanza mahusiano na bint yuko ok nayo.
Akija tena mwambie maisha binafsi ya bosi hayakuhusu na yeye ni mtu mzima aamue anataka nini katika maisha yake.
 
i once said so lkn mwenyewe nimechemsha manake huku kiddos wanasumbua wakuvuta heren wakupanda mgongoni wakushika kile yaani hadi unataman kuhama humu ndani na imagine siku ya 5 leo sijaenda kokote nimeborekaje??
pole sana....
lakini ndo raha ya likizo hiyo kukimbizana na watoto. nakutamania sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom