Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #121
huku siyo member na hataweza kuja huku. hata haijui jfMlete humu kwenye JF tukusaidie kumuumbua
huku siyo member na hataweza kuja huku. hata haijui jfMlete humu kwenye JF tukusaidie kumuumbua
rafiki, naona ndo majibu yatakakokuwa yanaelekea sasa. yeye ni mtu mzima aamue analotakaFixed Point rafiki...wala usipoteze muda na huyu...akija tena mwambie "wewe mkubwa sasa".....
ha haaa, asante kwa neno la mwal rafiki....Mwl Nyerere ''ukimpa mtu ushauri akakubaliana na wewe halafu akafanya kinyume chake, kwa mtu mwenye akili anakuwa amekudharau sana''
Sijui Mwl alifikiria nini kwa kweli.
ha haaa, inaonekana unayajua sana haya mambo, lol!
sasa nadhani umefika muda wa kumwambia kuwa aamue anachotaka