Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu dada

Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu dada

Okay, nimekuelewa, maana wanaume pia tunakuwaga na style za kutega, ukute lengo ni flani lakini tunaalika kama wawili au wa tatu na muhusika akiwemo, hapa muhusika anaweza kuona ni mambo ya kawaida tu, kumbe inatafutwa nafasi.

Lakini all in all, uje utupe updates za kilichojiri huko maana mi najua hutapewa details za kutosha kwa sababu tayari mlengwa atakuwa ameshaliwa na hawezi kukwambia chochote kilichotokea, utaishia kujibiwa ilikuwa nzuri bila details kupewa.
ha haaa, muhusika wala hakuwa anahusika saana kwenye hii kazi, kajipeleka tu. na ndo kama ninavyokuambia kuwa simwelewi sababu ni kwamba anajua kuwa huyu baba anamfwatilia, kwa nini ujipeleke? angekuwa hajui ningemsamehe kuwa hajui maskini
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni mara nyingi amekuwa akija kwangu kulalamika jinsi ambavyo baba mmoja anamsumbua sana kumtaka kimapenzi. Bidada hajaolewa lakini ana mchumba. Ila ni mdada mkubwa tu (over 35 years).
Ushauri ambao mara kwa mara nimekuwa nampa ni kujitahidi kuwa mbali na huyo baba. Akutane naye tu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo (wanafanya wote kazi) zaidi ya hapo awe mbali naye.
Jana yule dada kanipigia simu kuniuliza kama nitahudhuria workshop ambayo huyo baba kaiandaa (baba ni boss mkuu hapa tulipo, na mimi nafanya kazi nyingi sana na huyo boss). hiyo workshop ni ya nje ya ofisi, kazi yake binafsi, ila alituomba kama tunataka kushiriki kwa njia yoyote ile na ikiwezekana tumsaidie katika maandalizi.
Nikamwambia yule dada kuwa sitahidhuria, akanishangaa kwa nini, nikamwambia kwanza nina kazi nyingi sana lakini pia haikuwa lazima, na kwa nilivyobanwa nisingeweza kujitolea. huyo dada kwanza hafanyi kazi chini ya huyo baba, ingawa tupo idara moja, yeye ana bosi wake. lakini alipoona ile email aliamua kujitolea kumsaidia. kwa vile hafanyi kazi tunazozifanya, kwa hiyo kajitolea kumsaidia logistics wakati wa workshop.......
Hebu naomba mniambie huyu mdada anataka nini? nina uhakika wakitoka huko workshop (maana wanalala huko huko hotel) atakuja kunilalamikia jinsi alivyosumbuliwa.
Hapa nahitaji majibu yale makali kabisa ya kumjibu ili either (i) asije tena kunilalamikia upuuzi anaouendekeza mwenyewe, or (ii) aone clearly kuwa yeye ndo mchochezi mkuu wa hayo mambo kwa hiyo asiendelee kumlaumu baba wa watu.

Huyo dada alichokuwa anakitaka kutoka kwako ni wewe kumuunga mkono, anatamani kutembea na huyo baba ila ana mashaka mashaka kwamba mnao mzunguka mtamuelewa vp, ukitaka kuamini haya ninayo kuambia akija kukuambia kwamba kasumbuliwa mwambie amuachie mzigo utaona kama atarudi tena kwako.
 
Kwa kuwa unaona anakusumbuwa na wewe unasema hujaliwa na boss, sasa kaliwe na boss, akija tena kukuuliza mwambie kuwa wewe umeshaliwa na boss kwa hiyo asikuulize-ulize sana.
 
Huyo anahofia ukaribu wako na yeye na the fact kwamba jamaa ni Ur immediate boss,lakini wameshaanza mahusiano na bint yuko ok nayo.
Akija tena mwambie maisha binafsi ya bosi hayakuhusu na yeye ni mtu mzima aamue anataka nini katika maisha yake.
sasa nadhani umefika muda wa kumwambia kuwa aamue anachotaka
 
ha haaa, anajua kabisa kuwa sijaliwa na bosi...
yeye akitaka kuliwa aendelee tu kwa raha zake. kinachonisikitisha ni kunichosha na malalamiko ambayo anayafwata mwenyewe

hawa wadada wa maofisini nao kazi kweli kweli, mie huwa nawashaurigi kama bado mpo mpo basi mkitaka kula na hao maboss "futeni" midomo, mana hawa maboss matabia yako wengi wao yanalingana tu, hapa ofisini naona mdada akija mpya anashoboka akiona ile tongoza tongoza anayopata, anaruka na li boss hadharani kakija kengine kesho japo intern tu anamwagwa, ndio maisha gani haya? halafu huyu 35+ anakuchoshea nini?
 
huyo anakuringishia tu kuwa yeye ndo kapendwa sana na huyo bosi, na inawezekana pia labda huyo bosi mwenyewe wala hajamtongoza anajishaua tu...wewe akikuletea tena hizo story zake mwambie ukweli kuwa huko interested na ishu zake hizo na yeye ndio aufuate moyo wake KUWA au KUTOKUWA na huyo bosi.
 
Huyo dada alichokuwa anakitaka kutoka kwako ni wewe kumuunga mkono, anatamani kutembea na huyo baba ila ana mashaka mashaka kwamba mnao mzunguka mtamuelewa vp, ukitaka kuamini haya ninayo kuambia akija kukuambia kwamba kasumbuliwa mwambie amuachie mzigo utaona kama atarudi tena kwako.
ha haaa, basi kachagua namba mbaya ya kuomba ushauri.... nisingefikiria kumshauri amwachie mzigo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaaaa!
Haki ya Mungu walai!
Yaani anachezea akili yako kwa ujiti wa kuti!
Nachukiaje nikigundua mtu ananienjoy!
...
Akijileta tena! Wala usiwe na presha!
Mtulizie hadi akuchomekee mwenyewe!
Sipendi nikufundishe maneno but ingekuwa poa kama utampa jibu la kumaanisha na wewe unamtaka huyo Boss!!!!!!
 
hawa wadada wa maofisini nao kazi kweli kweli, mie huwa nawashaurigi kama bado mpo mpo basi mkitaka kula na hao maboss "futeni" midomo, mana hawa maboss matabia yako wengi wao yanalingana tu, hapa ofisini naona mdada akija mpya anashoboka akiona ile tongoza tongoza anayopata, anaruka na li boss hadharani kakija kengine kesho japo intern tu anamwagwa, ndio maisha gani haya? halafu huyu 35+ anakuchoshea nini?
ha haaa, unajua mwanzo nilidhani yupo Innocent.....
juzi kati hapa tulikuwa na conference ambayo wote tulienda + bosi. sasa nilikuwaje busy kumlinda! ingawa sikuona dalili yoyote ya bosi kumsalandia, lakini nilijikuta tu namweka karibu ili bosi asipate chance ya kumshawishi mdada wa watu. sasa nilipoona hii ya hiari nikachoka kabisaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyo alitaka kujuwa kama na wewe umeshaliwa na boss. Ili ajuwe namna ya kuongea na wewe akishaliwa.

Na wewe umeliwa na huyo Boss?

"Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya." - Qur'an 17:32

Kwa kuwa unaona anakusumbuwa na wewe unasema hujaliwa na boss, sasa kaliwe na boss, akija tena kukuuliza mwambie kuwa wewe umeshaliwa na boss kwa hiyo asikuulize-ulize sana.

Mvaa tie amepigwa ban kwakukuuliza swali linalo fanana na hili kwenye PM, ukalalamika kwa Mods na hatimaye wamempiga ban ya wiki kama tatu hivi Kumbe nawewe una maswali ya hivi? Ila naamini Fixed Point hataumia kwa hili swali kwasababu ni kichwa

CC: Invisible
 
Last edited by a moderator:
huyo anakuringishia tu kuwa yeye ndo kapendwa sana na huyo bosi, na inawezekana pia labda huyo bosi mwenyewe wala hajamtongoza anajishaua tu...wewe akikuletea tena hizo story zake mwambie ukweli kuwa huko interested na ishu zake hizo na yeye ndio aufuate moyo wake KUWA au KUTOKUWA na huyo bosi.
katafuta namba mbaya ya kuringishia.... badala ya kuringishwa nikajikuta namwonea huruma tu na kumpa maushauri. this time ntampa ushauri wa kufwata moyo wake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaaaa!
Haki ya Mungu walai!
Yaani anachezea akili yako kwa ujiti wa kuti!
Nachukiaje nikigundua mtu ananienjoy!
...
Akijileta tena! Wala usiwe na presha!
Mtulizie hadi akuchomekee mwenyewe!
Sipendi nikufundishe maneno but ingekuwa poa kama utampa jibu la kumaanisha na wewe unamtaka huyo Boss!!!!!!
he he heeee, nitaanzia wapi kudanganya namtaka bosi?
hainiingii akilini aisee
 
Be careful ndugu asije akawa anakwenda kusema kwa huyo boss unachomshauri. Afterall 35 years ni mtu mzima kabisa akuheshimu na mwambie atumie akili zake mwenyewe. Miaka yote huko nyuma alikuwa anaseek advice kwa nani?
umenifungua sana hapa, thanx.... naweza kosa promotion sababu ya kushauri mtu amkatae bosi
 
Huyo dada inaezekana hajielewi mana haiwezekani mtu umuone kero kias hicho alafu uamue tu et kujitolea hivo wakat haina ulazima. Kuna kitu kinaendlea moyoni mwake huyo. Subiri watoke huko uone kilichojiri.
 
Huyo alikuwa anatafuta approval kutoka kwako. Alikuwa anataka umwambie "Unasubiri nini kusema ndio, nigekuwa mimi wala nisingewaza". Sasa anaona na wewe huna time ndio maana kaanza vimbwanga, na usije shangaa unatajwa kwa Boss kuwa wewe ndio uliyemchelewesha!! Kaa nae mbali huyo.
 
Back
Top Bottom