Sio Mazimbu tu hadi main campus paper zinafanyika Jumamosi & Jumapili. Sababu kuu ni kutovuruga utaratibu wa lectures siku za katikati. Sometimes paper zinafanyika jioni sana even 5PM/6PM
Kuna muda hadi usiku piaSio Mazimbu tu hadi main campus paper zinafanyika Jumamosi & Jumapili. Sababu kuu ni kutovuruga utaratibu wa lectures siku za katikati. Sometimes paper zinafanyika jioni sana even 5PM/6PM
Distributed Denial-of-Service
Yahh nadhan quantity ndo inatolewa ingekua quality kwenye soko la ajira wangekua favoured sanaWanasoma 24/7 without any break ?, ni mawili either wanatoa material zaidi ya vyuo vingine (hence unapata zaidi ya value for your money) au wanakwenda overboard hence kuwa-overfeed na mwisho wa siku mnapata quantity na sio quality
Haha comedy tenaJaribu kufikiria wewe una plan kumiliki chuo kabla hata ya kupata eneo utafanya utafiti kujua namna ya kuendesha chuo lakini ikitokea ghafla mtu kakuzawadia chuo uendeshe lazima eneo la chuo litakuwa kituo cha comedy
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajitathimini kivipi labda?.lakini wajitathmini wanaweza kufungiwa
asee wazo hiloLabda wapate professor mmoja mkristu ndo wataweza kujua namna ya kuendesha hii taasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
kUna upungufu wa wakufunzi almost kama hawana,so kwa siku za weekend ndio wanapatikana wakufunzi wa part time n that's why ratiba iko hivyo.
Wana JF,
Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.
Hii imekaa vipi kitaaluma?