Nimeshangazwa kusikia Chuo cha MUM (Muslim University of Morogoro) hakina weekend, hii imekaaje?

naona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?

Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.
 
Wanasoma 24/7 without any break ?, ni mawili either wanatoa material zaidi ya vyuo vingine (hence unapata zaidi ya value for your money) au wanakwenda overboard hence kuwa-overfeed na mwisho wa siku mnapata quantity na sio quality
 
Wewe kinakuuma Nini asee,,,chuo ni Chao,kingekuwa magumashi kingefungiwa zamani,vyuo vingi vimefungiwa ujue,ambavyo Ni magumashi,,,
Acha kuteseka roho kwa mambo ya kijinga,utakufa kwa presha bure
lakini wajitathmini wanaweza kufungiwa
 
Back
Top Bottom