Nimeshangazwa kusikia Chuo cha MUM (Muslim University of Morogoro) hakina weekend, hii imekaaje?

Kupumzika j.mosi na j.2 sio sheria ya nchi ila ni taratibu za nchi.

Mapumziko ni makubaliano yako wewe na mwajili wako.
Wana JF,

Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.

Hii imekaa vipi kitaaluma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupumzika j.mosi na j.2 sio sheria ya nchi ila ni taratibu za nchi....

Mapumziko ni makubaliano yako wewe na mwajili wako....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabato
 
Kilistahili kufutiwa usajili hakina sifa. Waislam wajitathmini Kwa idadi waliopo Tanzanzia Ilibidi wawe na vyuo Bora Sana
Wana JF,

Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.

Hii imekaa vipi kitaaluma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kUna upungufu wa wakufunzi almost kama hawana,so kwa siku za weekend ndio wanapatikana wakufunzi wa part time n that's why ratiba iko hivyo.
Ina maana phd zote Tanzania zinachapa politiki. Tatizo kubwa hili.
 
Kilistahili kufutiwa usajili hakina sifa. Waislam wajitathmini Kwa idadi waliopo Tanzanzia Ilibidi wawe na vyuo Bora Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyuo haviko kwasababu za kidini,,Kuna vyuo vingi vya taasisi za kikristo zinapokea waislamu provided wanalipa karo,,sio lazima kila dini I we na chuo kwani vyuo vya taasisi za kikristo zinafundisha injili au masomo ya kawaida?.
Au hivyo vyuo vizuri vya kikristo huwa vinatoa gawio kila mwaka la mapato yake kwenye Kaya za wakristo?.
Sioni logic ya wewe kuhimiza eti waislamu wawe na vyuo vizuri Kama wakristo,
Vyuo magumashi vinafungiwa kila siku na Kuna vingi tu vya St barbanas lakini hakuna mtu anahusishwa na udini,
 
Waliweka j.mosi na j.2.. ni kwa sababu ni siku 2 za mwisho za juma, wakiamini kwamba siku za mwisho za wiki watu watakuwa wamechoka na kazi ....

Lakin sio sabbu za imani za dini flani, usiwe na akili finyu... Tanzania ni nchi ambayo haina dini
Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu kwa mamkubwa walitaka kumsomesha kule diploma mwaka jana. Nilikuwa sipendi kusikia kabisa wanataja uwezekano huo. Bahati nzuri wakaelewa ushauri akaenda SAUT. Alikuwa na ufaulu mzuri na sasa anafanya vizuri kabisa.
makwambia pale masharti kama yote kuanzia mavazi,tabia ukinyoa hovyo hufanyi presentation wala mtihani
 
makwambia pale masharti kama yote kuanzia mavazi,tabia ukinyoa hovyo hufanyi presentation wala mtihani
Shida sio masharti kwa sana, hayo waislamu wenye kufuata sheria kali wangeenda. Shida ni kiwango cha elimu kinachotolewa pale kina walakini.
 
hawa MUM nilisikia hawako chini ya tcu, sijui wanasimamiwa ubora wao na baraza la vyuo vikuu la Iwapi.
 
naona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?

Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.
Useless punk.
Yale majengo walipewa sawa. Je walipewa kwa utaratibu upi? Hebu fafanua hapo.
Kwa taarifa yako MUM tayari wana eneo kubwa liko Pwani
 
naona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?

Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.
ACHA KUROPOKA HAKUNA ISLAMIC LAW PALE.
KUNA LAW AND SHARIAH
 
Back
Top Bottom