Hilo neno kundule unge bold likaonekana vizuri.Nyang'au unababaika na Kiingereza kama nyani na ndizi!
Asubuhi yote hii watu wanatafuta pesa wewe umeng'ang'ana na viingereza!
Kweli ukoloni umegota kwenye kundule! Hahahahaaa
Nyang'au unababaika na Kiingereza kama nyani na ndizi!
Asubuhi yote hii watu wanatafuta pesa wewe umeng'ang'ana na viingereza!
Kweli ukoloni umegota kwenye kundule! Hahahahaaa
Kiinglishi ni kwa watoto wa matajiri, kiswahili ni kwa watoto wa walala hoi. Inaitwa sisiemu hiyo.
MK254 hamia Bongo mazima manake una nondo za huku hadi za Tandale!Hehehe huwa wanaambiwa uzalendo ni kuchukia Kingereza, njemba linasoma kuanzia chekechea hadi shule ya upili ndio linashtukizwa na Kingereza, halafu matangazo ya ajira huchomekewa "Lazima ujue kusoma na kuandika Kingereza"..... Watoto wa matajiri wanapeta freshi tu, ilhali njemba linaganda na ze ze ze.....
Halafu hawa hutia huruma maana hata lugha zao za asili hawazijui, unakutana na mtu mzima tena aliyeota mvi kichwani lakini hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, na ukiangalia uandishi wao hata wa Kiswahili, hutia kinyaa.
MK254 hamia Bongo mazima manake una nondo za huku hadi za Tandale!
Uzembe na hiyo methali zinakutana wapiMuache uzembe wa "sizitaki mbichi hizi"
Uzembe na hiyo methali zinakutana wapi
Hii inatokea kwa mtu yeyote ambaye anafanya kitu asichokuwa na uelewa au na uzoefu nacho. Mfano wewe tukupe treni uendeshe na hauna utalaam nayo lazima ukose kujiamini. Sasa sioni ajabu sababu kingereza ni lugha tu kama ilivyo kirusi au kichina ni ninyi wakenya ndio malimbukeni kwa sababu vichwa vyenu bado vimekaliwa na Uingereza.Ikikushinda kisa uzembe wako....unaitusi.....
Ona ndugu zako Natetemeka/Kigugumizi nikiongea Kiingereza
Hii inatokea kwa mtu yeyote ambaye anafanya kitu asichokuwa na uelewa au na uzoefu nacho. Mfano wewe tukupe treni uendeshe na hauna utalaam nayo lazima ukose kujiamini. Sasa sioni ajabu sababu kingereza ni lugha tu kama ilivyo kirusi au kichina ni ninyi wakenya ndio malimbukeni kwa sababu vichwa vyenu bado vimekaliwa na uingereza
Shule za serikali zinazotumia kiingereza zimekuwepo tangia zamani, mfano kwa Dar es salaam Olympio primary school imekuwa ikitumia kiingereza.
Tanzania haijawahi kudharau kiingereza, ni awamu hii tu ndo kumezuka hili jambo na hata sisi tunaona aibu usione tunajikakamua kubisha. Awamu tuna sababu ya msingi ya kukiponda kiingereza, hakuna nyumba inapika kitimoto wakati baba mwenye nyumba hatumii kisa kuna watoto wanatamani Kitimoto.Kuna uzi nimekutana nawo humu unaongelea kuhusu shule za serikali ambazo ni English medium, nikawa nachanganyikiwa, maana Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye hela zao na hata viongozi wapeleke watoto wao kwa shule binafsi za English medium, ila kumbe kunazo pia za serikali na zinazotumia mtaala mmoja japo zina ada ya gharama.
Ndugu zetu hiki kingereza mtakizunguka na kukitukana na kujifanya kukichukia ila hakikwepeki kwenye utandawazi wa leo, mambo ya "sizitaki mbichi" yamepitwa na wakati.... suluhisho ni kucaha uzembe na kukisomea
Shule za English medium za serikali | JamiiForums
Kuna huu uzi mwingine ambao naona jamaa ameandia kwa uchungu sana kuhusu hilo hilo JAMHURI YA WOGA! | JamiiForums