orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,676
- 4,247
mkuu una tamaa sana na hela istoshe umechezea hela nyingi kwa pupa mbaya zaidi uridhiki wala hutosheki na ulichonacho chakushangaza zaidi unachagua maisha pia unadeka sana,mwisho umeamua kuvunja sheria kuondoa uhai ambao hukuchangia hata pumzi ya dakika moja,umemkosea MUNGU ,omba toba tafuta kwa jasho ule kivulini,kuna watu wana shida na bado hawawezi kufika uko ulikofika,funguka MUNGU aishie milele akufungue ujitambueKaka nimepita mikoa mingi sana na huko DSM nimekaa miaka mitatu