Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

Mmmh! Bibi una ushauri wa kibabe.
Kama rais flani hv wa nchi moja Afrika mashariki.
Kwa watu kama huyu anaecheza na "emotions" za watu inabidi iwe hivyo.

Serikali yake ya mtaa ndiyo iwe kimbilio lake la kwanza.
 
Hata vitabu vya dini vimetuasa kuhusu suala la kukata tamaa,ww ni mzima kiafya unakata tamaa vp,hakuna dhambi mbaya kama kukata tamaa na ukishakata tamaa huo ndio mwisho wako wa maisha wala haina haja ya kujiua
 
Hiyo pointi namba tano nimeilewa sana yaani. Matatizo tunayatengeneza sisi wenyewe, inapaswa kuangalia wapi ulikosea kisha ukajilekebisha.
Sijaona hata sababu inayokufanya kuona kifo ni suluhu yake, nimepitia nyuzi zako nimeona unachukulia maisha kama bahati nasibu ndiyo maana unatafuta waganga, nimetafakari sanaaaa, ila kilichonishangaza unalalamika hauna pesa ila haudaiwi na mtu bali wewe unadai.kutokana na tafakri yangu huu ndio ushauri wangu.

1. Kuwaza kujiua ni upumbavu hasa unaoandamana na matatizo ya kiakili

2. Kulaumu watu unaowadai kwa kushindwa kukulipa nao ni upumbavu. Kuna watu hawana pesa ya kula na wanamadeni na hawajui watapata wapi pesa na matumaini wanayo makubwa

3. Chakula hata ukitoka hapo ukaenda kwa jirani naamini utapata chakula. Niliwahi funga siku mbili usiku na mchana bila kula wala kunywa lakini sikufa, amuka nenda kwa jirani nenda hata kaanguke uwanjani kwake ukilia njaaa nawe utapata msaada

4. Maisha siyo lelemama, usifikri ukifa dunia itapoteza wewe ndiyo utapotea na maisha yataendelea. Jiulize mimi niliyesoma uzi wako ukifa nitapoteza nini?

5. Chanzo cha matatizo yako ni wewe mwenyewe wala si mwingine, nakutakia kifo chema.
 
Hiyo pointi namba tano nimeilewa sana yaani. Matatizo tunayatengeneza sisi wenyewe, inapaswa kuangalia wapi ulikosea kisha ukajilekebisha.
Binadamu tunajisahau kuwa kila mmoja anawajibika na maisha yake, kisha tunaanza kulalamikia wengine
 
Mkuu nimesoma uzi wako kwa masikitiko makubwa, nakupa pole sana sana.
Hali hiyo wewe si wa kwanza wala HAUPO pekee yako na inawezekana wapo wenye hali mbaya zaidi.

Yote kwa yote, unapitia hali ngumu sana, POLE SANA SANA.

Napenda nikushauri yafuatayo:

Kwanza kabisa, MTEGEMEE MUNGU KWA KILA JAMBO NA KUMSHUKURU.
HIVYO ACHA KABISA MAWAZO YA KUJIUA.
Hutakufa na hali hiyo itapita na wewe si wa kwanza.

Pili, nakushauri kwa sasa usijihusishe na FOREX wala bahati nasibu kwa kuwa akili yako haijatulia na ina msongo mkubwa wa mawazo, chochote unachofanya hivi sasa ufanisi upo chini, mshirikisha MUNGU kwanza.

Tatu, tumia elimu ndogo iliyonayo iwe mtaji namba moja, unaweza omba baadhi ya watu usaidie familia zao kwa kufundisha watoto wao.

Nne, ONGEA NA WATU, je upo mkoa gani?
Waeleze baadhi ya watu wenye roho nzuri kuwa huna pesa ya kula na magumu unayopitia, wakupatie kazi ndogo za nyumbani (afya na nguvu ni mtaji mwingine kwako) hata kwa kukutuma kufanya manunuzi kwa niaba yao.

Tano, usiwaze ndoto kubwa sana kwa sasa, kama ajira za serikalini au kufanya vizuri Kwnye FOREX na biashara yoyote kwa sasa, zaidi ya biashara ya chakula.

Mfano, Omba hata kumenya viazi vya chips kwa malipo ya sahani za chips na nauli tu kwa siku.

Hii itakusaidia kujipanga na pengine kukutana na watu wema wanaoweza kukupa CONNECTIONs zaidi.

Kila la heri, ukifanikiwa pia. Andika kitabu cha maisha yako na ukiuze na kuelimisha lakini pia kutupa wanajamii mrejesho wa magumu uliyopitia na kuvuka hali hiyo.
 
Mfano hali huu labda utasema nimedownload
Screenshot_20190815-100448.jpeg
 
Shukrani mkuu ubarikiwe sana
 
Kwanini umetrade kwa tamaa ivo lot kubwa no stoploss unafikiri market inakujua hali yako? Possition nyingi mnoo hukutakiwa kufanya ivo, anyway huna haja ya kujiua umechoma ela ndogo mno ambayo inapotezwa kwa nusu saa,

Cha kufanya
-anza na ulichonacho katka akaunti kama ni dola 3o 10 au 50, ikuze taratibu kwa lot ndogo, ntafute pm nikupe mbinu buree(nimepitia hali kama yako sitakupa mtaji unaweza inuka niamini mimi unawza inuka hapo hapo ulipo)
-
-jaribu kuzunguka kama mwehu tafuta vibarua usiogope we fanya chochote unawza fanya ivi

Anzisha local bz
- maeneo uliopo unaweza anzisha kuosha pikipiki kwa mKno na vifaa local ,
Nenda viwandani utapata vibarua
Fanya chochote kujiua ni uzembe boya wewe
 
Mkuu nilianza na dola chache lakini kila siku nilikuwa natumiwa meseji ( margin call) kuwa account inaelekea kuungua so huwa wanashauri ili kuepusha kuunguza inabidi kuongeza balance ili kuongeza margin level ndo hiko nilichokuwa nikifanya mpaka kujikuta nimeweka pesa yote na kubaki mikono mitupu
Huna ujuzi wa forex. Ulichofanya ni kuongeza mafuta kwenye moto.

Jitahidi kusoma, uwe na ujuzi... If possible uanze na demo na sio unakimbilia real wakati hujui chochote.
 
Kwanza Kuwa na Baba au mama haimaanishi ndio maisha yako yatakuwa mazuri.. wengine baba zetu wapo mbaka leo wanavitambi kabisa apa mjini lakin kupata ata mia yake au ushauri wake ni hakunaga.. cha kwanza wew mwanaume pambana ila kama utataka kujiuwa nenda hospital ka donate izo figo na moyo kwa wanao taka kuendelea kuishi,,, Pili unachomaje Dola 1700 iyo hela ungeanzisha ata biashara kubwa tu.. una hela mbaka ya bandle wew huna shida ayo maisha magumu tusha pitia unakaa njaa mbaka simu inakuwa nzito huwezi binya ata iyo batani ya touch..
 
Wakuu huyu nafahamu ana pesa balaa ni mwalimu wa butalinga shule ya msingi anawazingua tu ...ila pesa anayo
Duuh mkuu acha unafiki basi kukaa kimya nako ni busara sio kuongea uongo usio na maana mm ndo nayejua hali nayopitia kwa sasa
 
Kwanza Kuwa na Baba au mama haimaanishi ndio maisha yako yatakuwa mazuri.. wengine baba zetu wapo mbaka leo wanavitambi kabisa apa mjini lakin kupata ata mia yake au ushauri wake ni hakunaga.. cha kwanza wew mwanaume pambana ila kama utataka kujiuwa nenda hospital ka donate izo figo na moyo kwa wanao taka kuendelea kuishi,,, Pili unachomaje Dola 1700 iyo hela ungeanzisha ata biashara kubwa tu.. una hela mbaka ya bandle wew huna shida ayo maisha magumu tusha pitia unakaa njaa mbaka simu inakuwa nzito huwezi binya ata iyo batani ya touch..
Umesikika mkuu
 
Back
Top Bottom