Nimeshaanza kujisogeza Buguruni makao makuu ya CUF

Nimeshaanza kujisogeza Buguruni makao makuu ya CUF

safi sanaaaa makamandaa mi ngoja nitoke church tuko pamoja hakuna kulala
 
Mkuu najuwa kesho ndo uchukuaji wa fomu.ila leo lowassa atakuwa ofisi za cuf buguruni kutakuwa na vikao vya ndani nimejitolea tu ulinzi baada ya jana kusikika taarifa kuwa ccm wamepanga kufanya hujuma
Kaka inatisha,tusubili update.
 
Tupo pamoja mkuu...Ngoja nimstue kamanda wangu maeneo ya Ilala boma ajisogeze apo
 
JK kichwa kinamiuma sanaaaa..akikumbika jana nchi nzima inazizima mikadi ya kijani inachomwa moto nadhani hajalala
 
Ccm imechokwa kila mahali hongera kwa kuongeza ulinzi ili ulinzi uwe wa kutosha viherehere kama Eliza wasikatwe tena na feni
 
JK kichwa kinamiuma sanaaaa..akikumbika jana nchi nzima inazizima mikadi ya kijani inachomwa moto nadhani hajalala

Hali yake ni mbaya kwelikweli. Anajitahidi kuzunguka na huyo Magufuli hata kwenye 8, 8 lakini ukiangalia muitikio ni mdogo sana na waliokuwepo hawana zile amsha amsha za furaha.
 
Kwa mtindo huu Nape na mbege(lubisi)wakisikia wataanza kujiharishia kabla ya kufika chooni.
 
Hali yake ni mbaya kwelikweli. Anajitahidi kuzunguka na huyo Magufuli hata kwenye 8, 8 lakini ukiangalia muitikio ni mdogo sana na waliokuwepo hawana zile amsha amsha za furaha.

Naona leo umeamka na Mange na CCM
 
Sijui kesho itakuweje na siku akija mwanza itakuweje

Mi binafisi nimeichoka sana sana mdudu ccm
 
Unajuwa Mkuu hapa ndipo unaona watu walivyo ichoka Ccm
Angalia tu mtu kaacha kazi zake zote na kachomoka usiku wote anaenda buguruni kusubiri aone mkutano wa mgombea urais wa ukawa anafanya mkutano salama na awahabarishe kinacho endele.Huu ni moyo wa kipekee
Makojobless hao,mtu huwezi kuacha biashara yako kwa ajili ya wapuuzi
 
Aaaaaahhhhh kwa speed hii CCM imechokwa...
R.I.P CCM Tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi
 
Yaaani niko tayar kesho nikafie kwenye maandamano .kuliko kuogopa kwenda.
 
Back
Top Bottom