Chama cha Wananchi CUF kinawaalika wandishi wa habari siku ya kesho kutakuwa na Mkutano makao makuu ya chama

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

CUF - Chama Cha Wananchi. Kesho Jumatano December 04, 2019 Chama Cha CUF Kitazungumza na Waandishi Wa Habari. Muda Wa Kuanza Mkutano Huo Ni Saa 5:00 asubuhi. Mahali Ni Ofisi Kuu ya Chama Buguruni Katika Ukumbi Wa Mikutano Shaaban Khamis Mloo.

WOTE MNAKARIBISHWA.

IMG-20191203-WA0016.jpg
 
CUF chama makini. 2020-2075 ndio kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani.
 
Back
Top Bottom