Nimeshaanza kujisogeza Buguruni makao makuu ya CUF

Nimeshaanza kujisogeza Buguruni makao makuu ya CUF

= dharura

Bibi leo umeamka na genye nini.. Naona tangia saa 9 usiku upo humu..

Alafu pole sana kwa mkasa uliokupata pale K/koo.. Hata kama wewe ni mzaliwa wa pale, vijana wameshawachoka. Usirudie kupita K/koo na lile dela lako la CCM bibi wale vijana next time wanakufanya kitu mbaya..

I miss u so much bibi..
 
Sie tutatia timu kubwa kesho rasmi, leo kuna kombania ndogo tu ya kawaida. Kofia za ukawa/lowassa, fulana za ukawa/lowassa, vibendera vya ukawa/lowassa! Ni chadema, cuf, nccr, na nld mwanzo mwisho!

Bodaboda, waenda kwa miguu, mama ntilie, taxi drivers, baiskeli, kwa kifupi jiji la dsm kesho litasimama shauri ya msongamano kwa wananchi wapenda mabadiliko kwenda kuchukua fomu ya rais wao!

Viva ukawa! Viva Lowassa!

nathibitisha kuwepo kweli
 
mkuu najuwa kesho ndo uchukuaji wa fomu.ila leo lowassa atakuwa ofisi za cuf buguruni kutakuwa na vikao vya ndani nimejitolea tu ulinzi baada ya jana kusikika taarifa kuwa ccm wamepanga kufanya hujuma

pamoja sana mkuu, hakikisha kwamba magamba au waandishi habari wa kimagamba hawasogelei ofisi hizo.
 
Naenda kuongeza ulinzi tena Ole wenu magamba mlete fujo
 
Wakuu salama
Kiukweli sijalala usiku nilikuwa nafikiria patakucha muda gani ili nianze kujisogeza ofisi za chama cha cuf pale buguruni mahali ambapo mgombea wa ukawa leo atakuwa pale
Nashukuru Mungu hatimaye kaniamsha salama sasa ni dk kumi kufika ofisi za cuf kwahiyo moja kwa moja nitawapa updates............
Tumejipnga kwa namna yoyote ile kwa wale wote walio tengenezwa na ccm kuleta vurugu kwani kuna tetesi jana kuwa wamepanga kuhujumu kikao cha leo,Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki UKAWA

Updates....
Tayari niko ofisi za cuf geti limefungwa wakuu tunasubir mlinzi muda muafaka ukifika alegeze geti kwani tayari naona kuna baadhi ya masela hapa nao nimekuwakuta hapa nao wameamka kombora kuja kuona mtananange hakika nimeamini Ukawa tunakwenda kubeba nchi asubuhi na mapema kama lowass alivyotuambia tunabeba nchi asubuhi na mapema kabla ibada ya kwanza haijaingia

We pimbi kweli!!
 
Umepanda gari bovu hata ungelala stand ya mabasi tutakupita glad ukitengeza mkweche wenu ss nshaaaaa ccm mwendo uleule Ikulu nymbani tumepazoea
 
As ukixkia ujuma ndo unafikiri fujo mpk uwe mlinzi. Pesa ona profesa yupo wp? Hujuma hyooooo km haujui
 
Mie niko barabarani muda huu kuja Dar tayari kesho kumsindikiza Rais mtamaniwa NEC kuchukua fomu.

Sitaki kusimuliwa tukio la Kesho
 
Tutumie hata Picha basi kutoka hapo ofisi za Cuf
 
Mkuu najuwa kesho ndo uchukuaji wa fomu.ila leo lowassa atakuwa ofisi za cuf buguruni kutakuwa na vikao vya ndani nimejitolea tu ulinzi baada ya jana kusikika taarifa kuwa ccm wamepanga kufanya hujuma

Dahh?! Watu milioni kama ww taifa linasogea mkuu tupo pamoja
 
Yetu ni macho. Tutayatumia kuona mambo mengi sana mwaka huu.Ila ukweli ni huu huu kwamba CCM imechokwa.
 
nasikia eti ni wewe ulipita na dela lako kariakoo vijana wakakuzomea ili kukutia adabu

Hahaha ndio huyo huyo maana nilikua namfananisha na mtu humu jf kumbe ni bib yetu dah wakufanya fair kabisa
 
na mm ngerengere nitaenda jumanne siwezi pitwa na mabadiliko
 
Back
Top Bottom