Nimesemeshwa na paka leo jioni

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?
 
jirani sio poa kuniita paka ila jua leo usiku naijia hela yangu ukibsha nakugeuza kuku tena jike ili jogoo wa mama hamis akupande
 
Kila mikosi ni wewe tu hata ukiliwa na popobawa usisahau kutuambia pia
 
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?

Nilidhan sikukuu yenu imeisha na kupita kumbe bado. Bora kesho ifike mapema ili iwe tarehe 2 April. Lisikukuu lenu hili wajinga na ujinga lina bore
 
Wewe ni kati ya watu wenye bahati sana. Kusemeshwa na wanyama, huo uwezo ni watu wachache sana waliojaaliwa hizo bahati.
 
Back
Top Bottom