Nimesemeshwa na paka leo jioni

Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?
Wew ni lichawi mkuu, mara ukimbizwe na simba, nyoka,nyati na leo paka kaongea.
Naona unatafuta soko lipia tangazo
 
An
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?

Angalia wasije kugeuza demu na mimba juu badala ya kuku.
 
Na kuandika kwako hapa umeniudhi, nimeghairi, sikugeuzi kuku, nitakugeuza samaki ili nikukule!
 
Tukiacha matani kama jama, anavyo tania, kuna jirani yetu aliwahi kusemeshwa nakitu kisicho onekana kwasauti ya kike na pia mume wake na watoto wake wali sikia nanuku, maneno yaliyo semwa nahicho kitu kwamujibu wa walio sikia " Jirani tuna omba dawa ya mboga". walio sikia wa waka hoji ninani una omba dawa ya ,mboga' usiku huu? Kumbuka ilikuwa ni usiku mnene, Kikajibu kwaku omba vile vile wala jina lake hakiku taja hicho kitu nahata, walipo toka nje, haku onekana hata kidogo ila ukikiuliza chochote, basi kita omba "dawa ya mboga" baada yahayo haiku pita siku nyingi, mume wake nayule mmama, aka aga dunia , sasa sijui yule mume ndio "dawa ya mboga" kumbuka dawa ya mboga ni 'viungo vya mboga' hasa chumvi.
 
K 4 LIFE umekuwa maarufu humu kwa hutu tunyuzi twako twa utumbo utumbo! pokea tuzo ya kilaza namba 1 tokea MIKUMI humu jf!
 
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?
Pole sana, ushirikina upo lakin mtu anekufanyia hivyo ni mtu anaekujua haswaa bila chenga.
So cha kufanya ni kuzidisha maombi na kuwa na imani thabit kwa kuwa ushirikina haufurukut mahali penye imani thabit
 
Ulimjibu vipi? Ilitakiwa hata umpe maneno ya kumkaribisha chakula cha usiku. Hirizi ni kama mikufu yoyote
 
Back
Top Bottom