Namtaka aniambie alikuwa chimbo lipi kwanza mpaka yeye akaibuka jasiri/shujaa[emoji23][emoji23]Tatizo wewe mambo yako magumu sana. Haya maana yake ni nini[emoji23][emoji23]
Mtoa mada?Namtaka aniambie alikuwa chimbo lipi kwanza mpaka yeye akaibuka jasiri/shujaa[emoji23][emoji23]
EeMtoa mada?
Ahaaa sasa hapo nimekuelewa.
Alifichwa na kunguru mwoga[emoji23][emoji23]Ahaaa sasa hapo nimekuelewa.
Labda alikuwa chimbo la id nyingine[emoji23]
Na gari.Nilijua tu
Anataka nitafute six pack kwanza[emoji23]
Taja list yoote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi nimezoea kuonewa na kusingiziwa[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Nimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23] asilimia 98 ni waoga.
Wa kwangu lazima atakuwa kwenye hizo asilimia 2.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ngoja ajeAlifichwa na kunguru mwoga[emoji23][emoji23]
Hawapaswi kujuana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taja list yoote.
Sawa. Na unajua kuadimika.Ngoja aje
Wale wanaoogopa hadi mende sio[emoji23]Labda anazungumzia wanaume wa kino
Mimi? Unanisema kimafumbo[emoji23][emoji23]Sawa. Na unajua kuadimika.
Atakuwa wangu na wako!Nimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23] asilimia 98 ni waoga.
Wa kwangu lazima atakuwa kwenye hizo asilimia 2.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ubavu wako haujambo?Mwanaume ni kristo katika familia na mwanume ni kanisa,mwanamke ni ubavu wa mwanaume...endelea kutudharau siku zako zinahesabika