Nimerudi

Nimerudi

Nimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23] asilimia 98 ni waoga.

Wa kwangu lazima atakuwa kwenye hizo asilimia 2.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Yupi sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji85][emoji85][emoji85]
 
wanaume wa dar tena....
mmemfanya nini OP?
 
Pole sana... Uliadimika kwa sababu ulikuwa unapambana ma madunya[emoji2960]... Hope umejifunza na kujua way forward.
 
Akijibu naomba uniite
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ashajibu.
Amenitaja?[emoji23][emoji1787]
Thubutuuu, akutaje ili wengine wasanuke!!!
Cc cute b
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi nimezoea kuonewa na kusingiziwa[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Nimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23] asilimia 98 ni waoga.

Wa kwangu lazima atakuwa kwenye hizo asilimia 2.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mnapenda kupingana na wahenga siku hizi..

Kwani walikosea kusema "Kwa mwoga huenda kicheko na kwa shujaa huenda kilio"....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnapenda kupingana na wahenga siku hizi..

Kwani walikosea kusema "Kwa mwoga huenda kicheko na kwa shujaa huenda kilio"....[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo wewe mambo yako magumu sana. Haya maana yake ni nini[emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom