Nimerudi

Nimerudi

Kipi ulichokimis kutoka kwangu?

Wanaume jiandaeni baadae nawalipua,mmenifika kooni

Usiombe kua na mwanaume muoga maishani kwako yani ni kero tupu. jianaume oga ni hasara kwa familia,jamii jwa ujumla...

Asilimia 98 ya wanaume tanzania ni waoga sana,hawana guts kabisa,hawana challenge yoyote ni midunya ya ovyo kabisa
Waoga ni wanaume wa Dar
Sisi wa mkoa sio waoga
Naomba nije PM yako tafadhali
 
Done..
Enjoy your meal..!

6DI028J0EHA Imethibitishwa. Tsh22,000.00 imetumwa kwa TTCL PESA kwenye akaunti namba 2557xxxxx tarehe 20/6/19 saa 13:56PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh10,167.00.
Kwenye iyo buku 10 iliyobakia
nipunguzie buku 2000 nijichukulie themosi nzima ya kahawa kwa ankal Hussein hapa tandale kwa tumbo mkuu.

nimesahau uongezee na 500 ya vishata
 
Mnapojifananisha na Kristo msijifananishe nafasi tu bali mjifananishe na matendo pia Kristo hajawahi kufanya ujinga kwa kanisa lake hata limkosee vipi ila wanaume mnafanya ujinga kwa wanawake
We Edelyn wewe, haiwezekani mwanaume akawa na tabia mbofu mbofu pasipo kuwa na mkono wa mwanamke....nyie ndiyo huwa mnatutia kwenye dhambi tangu mwanzo enzi za Adamu na Eva....na hata maandiko yanatukumbusha tuishi na nyie kwa akili sana, unajua kwanini?
 
Asante kwa offer
nilifikiri ndio wale hata wakiwa nacho hawawezi wagawia waume ama boyfriend zao. lakini kwa hili hata siku akiwa hana naamini atafurahi

wakishua; thanks once again kwa offer
Asante mkuu. Karibu pia siku nyingine ukihitaji kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom