Nimerudi

Nimerudi

Kwahiyo kufukua tope ndo kumekatazwa ila kuchepuka hakujakatazwa si eti?
Tukiachana na hilo la kuchepuka Miss edelyn si unamuona mwanamke mwenzio alivyotudharau na kututukana [emoji23] sjaona hoja yako hapa ila angekuwa huyu mwanaume kamwandikia mwanamke hivi najua ungeanza kutushambulia
 
Kwa sababu wanawake tumewazidi akili ila wanaume mmetuzidi nguvu
We Edelyn wewe, haiwezekani mwanaume akawa na tabia mbofu mbofu pasipo kuwa na mkono wa mwanamke....nyie ndiyo mtutia kwneye dhambi tangu mwanzo enzi za Adamu na Eva....na hata maandiko yanatukumbusha tuishi na nyie kwa akili sana, unajua kwanini?
 
Jamani mimi sijaona alichokosea hapo kasema baadhi ya wanaume wa siku hizi ni waoga sasa kama wewe siyo muoga unaanzaje kukasirika mimi nilitegemea waoga tu ndo waje wamwage povu hapa ila ambao siyo waoga wangejisemea tu moyoni kuwa huu uzi hauwahusu
Tukiachana na hilo la kuchepuka Miss edelyn si unamuona mwanamke mwenzio alivyotudharau na kututukana [emoji23] sjaona hoja yako hapa ila angekuwa huyu mwanaume kamwandikia mwanamke hivi najua ungeanza kutushambulia
 
Jamani mimi sijaona alichokosea hapo kasema baadhi ya wanaume wa siku hizi ni waoga sasa kama wewe siyo muoga unaanzaje kukasirika mimi nilitegemea waoga tu ndo waje wamwage povu hapa ila ambao siyo waoga wangejisemea tu moyoni kuwa huu uzi hauwahusu
Soma mistari miwili ya mwanzo ya uzi wake alafu akasema asilimia 98 hapa anamaanisha almost all ata kama sio Mimi kweny kundi hakupaswa awa insult hvyo

Mm nilijua tu wewe uko biased sana .case dismissed Miss ngoja tuone uzi unaelekea wap
 
Kipi ulichokimis kutoka kwangu?

Wanaume jiandaeni baadae nawalipua,mmenifika kooni

Usiombe kua na mwanaume muoga maishani kwako yani ni kero tupu. jianaume oga ni hasara kwa familia,jamii jwa ujumla...

Asilimia 98 ya wanaume tanzania ni waoga sana,hawana guts kabisa,hawana challenge yoyote ni midunya ya ovyo kabisa
Wangekuwa waoga wangekutindua hiyo bikra? We sema hao ni wanaume uliokutana nao huko na siyo kugenerelize
 
Kwa sababu wanawake tumewazidi akili ila wanaume mmetuzidi nguvu
Nyie wanawake ni kama glass handle with care kwa maana ya kwamba ni fragile, maandiko yanasema tuishi na nyie kwa akili kwa maana nyie ni wadhaifu...
 
Endelea kunidanganya....
Hivi seriously wanaume hamuelewi kwanini mliambiwa muishi na sisi kwa akili? Nashangaaga baadhi ya wanaume wanatoa sababu zao ambazo hazina kichwa wala miguu wanaume mara nyingi mnatumia nguvu kwenye mambo yenu ila wanawake mara nyingi tunatumia akili kwenye mambo yetu

Labda nikuelezee kwanini nasema sisi tumewazidi akili ila ninyi mmetuzidi nguvu ngoja nitolee mfano labda katika swala la kuua mwanaume akitaka kuua atachukua silaha anayotaka kutumia kama ni bunduki au panga ataenda moja kwa moja kwa anayetaka kumuua atatekeleza mauaji halafu ataondoka

Ila mwanamke akitaka kuua anatafuta mazoea kwanza na huyo mtu halafu atajifanya rafiki yake na kumuweka karibu zaidi halafu pale ambapo huyo mtu kaanza kumuamini ndipo atatekeleza mauaji

Sasa najua kuwa wapo wanaume wanaoua kwa taratibu na wapo wanawake wanaoua kwa haraka sasa hizo ni exceptions tu na ni cases chache za hivyo na kama unabisha jiulize kwanini asilimia kubwa ya wanaoenda vitani ni wanaume halafu asilimia kubwa ya wanaotumika kwenye maswala ya ujasusi ni wanawake? Mind you kwenye vita kunahitajika nguvu nyingi kuliko akili na kwenye ujasusi kunahitajika akili nyingi kuliko nguvu

Kuna mfano mmoja ninao mwanamke alikuwa jasusi akatumwa na kitengo chao kuwa akatafute information za mwanaume fulani kitengo walikuwa wanazihitaji huyo mwanamke alijenga mazoea na huyo mwanaume wakaanzisha hadi mahusiano ya kimapenzi wakafunga ndoa wakazaa na watoto kumbe miaka yote hiyo mke hana mapenzi bali yupo kikazi tu

Mume kashamuamini mwanamke kwa asilimia mia moja na mke sasa anajua siri zote za mume wake ndipo mume anapokuja kugundua kuwa mke wake ni jasusi na taarifa za mume zote zishajulikana kitengoni basi wakafanya yao sasa niambie mwanaume anaweza kufanya hayo? Nina mifano mingi tu ya hivyo ila nimekupa huo mmoja sababu siwezi kuiandika yote hapa na ndo maana wanasema mwanaume asili yake ni ujasiri na mwanamke asili yake ni unafiki yaani mwanamke anakuua huku anakuchekea

Mungu aliposema muishi na sisi kwa sisi akili alimaanisha kwamba sisi tuna akili zaidi yenu yaani kwamba ninyi amewapa akili ila akili zenu hazijafikia za kwetu kwahiyo mnatakiwa mzipandishe zifikie za kwetu yaani ni sawa mtu akwambie binadamu uishi na simba kwa makini sana ni kwa sababu anajua simba kamzidi binadamu ujanja kwahiyo ujitahidi asikudhuru

Na Mungu aliliona hilo mapema sana na ndiyo maana akawaruhusu wanaume mtutawale wanawake halafu akatuambia sisi tuwatii alijua kuwa akimuachia mwanamke hii dunia aitawale basi wanaume mngekoma mara kumi zaidi ya sisi tunavyokoma kwenye huu mfumo dume hata ninyi wenyewe si mnaona kwenye huu mfumo dume tu bado wanaume mnakoma sasa fikiria dunia ingekuwa iko kwenye mfumo jike je? Najua na hapa utabisha ila sitashangaa maana wanaume hamkubaligi kushindwa mbele ya wanawake yaani hamtakagi kukubali kwamba kuna vitu wanawake tumewazidi wanaume hata Mungu anajua hilo ila ninyi mnadhani mmetuzidi kwa kila kitu
 
Ehhhh ngoja nitulie nisome hichi kipisi cha gazeti...tho kuna post ya juu yake nimekujibu pia
 
Soma mistari miwili ya mwanzo ya uzi wake alafu akasema asilimia 98 hapa anamaanisha almost all ata kama sio Mimi kweny kundi hakupaswa awa insult hvyo

Mm nilijua tu wewe uko biased sana .case dismissed Miss ngoja tuone uzi unaelekea wap
Haya endelea kuwaza hivyo hivyo ngoja nikuache
 
Ukiona mwanamke analalamikia wanaume ujue Kuna kitu kimemsibu.
Nb: hao ni Serengeti boys madam. Taifa star wapo ngangari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom