Nimerudi wakuu, baada ya ban!

zaratustra

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
848
223
Kwa takribani siku kumi, nilifungiwa kuingia JF, eti kwa sababu nilitumia neno ................ naogopa kulitaja nisije nikapigwa tena ban (ila ni jina la pili la Didas!) ! Mods sijui kwa nini mlitafsiri vibaya, mimi naamini lile halikuwa tusi, bali ni neno la KUSHEREHESHA TU! Unless kama mtaniambia tafsiri yenu ya hilo NENO ni nini!
 
Unatafuta ban nyingine wewe,yani unataka kuanzisha nao ligi?
 
We ulimtaja Meya hovyo hovyo? Pole kwa ban and welcome back.
 
Tii jf rules pengine si mods labda kuna member ali-report abuse,ulisemaje kwani?? D:-
 
Kwa takribani siku kumi, nilifungiwa kuingia JF, eti kwa sababu nilitumia neno ................ naogopa kulitaja nisije nikapigwa tena ban (ila ni jina la pili la Didas!) ! Mods sijui kwa nini mlitafsiri vibaya, mimi naamini lile halikuwa tusi, bali ni neno la KUSHEREHESHA TU! Unless kama mtaniambia tafsiri yenu ya hilo NENO ni nini!

itakuwa jukwaa la siasa hilo chezea politics wewe muulize konnie ndio anapajua vizuri..
 
Inawezekana namimi nilishawahi kuipata ban bila kujua!Maana kuna kama siku nne nilikuwa siwezi kuingia Jf!Nikahisi ban tayari!
 
Kwa takribani siku kumi, nilifungiwa kuingia JF, eti kwa sababu nilitumia neno ................ naogopa kulitaja nisije nikapigwa tena ban (ila ni jina la pili la Didas!) ! Mods sijui kwa nini mlitafsiri vibaya, mimi naamini lile halikuwa tusi, bali ni neno la KUSHEREHESHA TU! Unless kama mtaniambia tafsiri yenu ya hilo NENO ni nini!

ulitumia neno MASIFURI nin??

Ila usiwe na hofu cha msingi umeback again jipange usi banishwe tena.Kwani hilo neno MASABURI lilisha pigwa marufuku hapa jf na ndilo neno linaloongoza kwa kuwa banisha watu hapa jamvin??Limisha jadiliwa sana humu.
 
Wakuu asanteni kwa kunikaribisha tena ndani ya JF! Ila nimesoma posts zote, yaani nimcheka pale SAMRICH1, anapotaka kunichokoza ili nipigwe ban tena! Sirudii tena kutaja jina la huyo jamaa!
 
acha noma bana nitukane kidogo bhana si kidogo tuuu kaka eeeeh naomba bhana hata yale ya rejareja jumla sitaki please
 
we ulikua na siku kumi tu... mie was heellll out of here.... ndo nimeachiwa leo
 
Back
Top Bottom