Madame B uwa binamu hapana
kama ni hela tutatafuta huku huku mererani.
Kumbe hauko single??mnaachana lini???
Punguza mikwara basi dada yangu. Hao mashemeg kazi wanayo
Halafu binti yako charminglady nampendaje lol
Na yeye analindwa au hakuna ulinzi?
Mbona yeye hakupendi...hiyo ndiyo silaha yake kubwa
Mamndenyi ugomvi wetu bado uko palepale?
Kama mume wetu MziziMkavu nimeshakuachia.
Hadi huu ubinamu wangu na Mr Rocky waumendea?
Penda Kucha na Meno yako.
Gud boy..
Aione my hezbendi @C6
MziziMkavu wamemshindwa wanawake wa kithungu mie nimpeleke wapi Madame B hivi kwanini kila mara tunakutana daaah
ila kwa Mr Rocky tutaelewana vibaya shosti.
Mbona wewe kigeugeu???Ngoja wenye mwili wao wakusikie.
Ukiona hvo, ujue Mungu anapenda tuwe wake wenza.